Huyo ni bonge la msanii ! Mtu aliezimia atalala vile kwenye kiti ??? Aliezimia huwa anapotoza fahamu na kuanguka chini kwa kuwa anakuwa hajitambui lakini huyu unamuona kabisa kajilaza kwenye kiti na macho yake kafumba kuhadaa watu ! Mshenzi sana huyu ! anafanya usanii mpaka kwenye kifo ! ama...
Kwa taarifa tu makampuni ya madini ya SA ndo wamiliki wakubwa wa migodi ya Kongo ! Hivyo serikali ya SA ina maslahi Kongo kwa maana ya kwamba malipo yote wanayopokea makampuni hayo yanapitia katika mabenki ya SA hivo serikali inapata kodi kbwa tu
Huyu Mzee Tulikuwa tuna sukuma nae documents enzi zile pale Long room huku akiwa kashika mfuko wa rambo ! Duu ! Tumetoka mbaaliii ! Wakati ule CCM walimpiga kibuti akahamia NCCR Mageuzi ! Jina lake la utani anaitwa Tyson ! Hakawii kurusha ngumi !! Muulize Mzee Kikwete atakwambia !
Ndugu wadau,
Ningependa wananchi wafahamu kuwa barabara muhimu inayotoka Mbweni Kijijini kupitia Malindi , masaiti hadi Boko Magengeni imefungwa !
Hii ni barabara muhimu sana hasa kwa wakazi wa Mbweni kijijini na wengineo wa njiani. Cha ajabu haieleweki kwa nini imefungwa !
Ikumbukwe kuwa...
Sasa wee Magori hebu tuambie huyo Kibu Dennis wenu anazaidi ya miaka mitano hapa nchini ? Naj ee ana mzazi hapa TZ ??? Mbona yumo timu ya Taifa ??? N a alishaanza kucheza siku nyingi tuu !Acheni ujinga !!!
Izy_Name nikuambie kitu, Mwandishi kamzungumzia Magufuli sasa kama Rais na historia yake kama alikua sasa alikuwa na haja gani ya kuwazungumzia marais wengine wakati wao sio wahusika katika kitabu hicho ??
Tafakari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.