Yote hayo shida ni 22/7 tupunguze makasirikoo Wana JF. Ona hata wewe mwenyewe Kuna muda ka nafsi Kako kanaona kabisa ni kweli ulichapia kidg lakn maneno yanakua mengi kufuta ka aibu Genta kuchapia ni kiawaida sana. Usiwake sana utapasuka kisa ka pie kwelii!!!!!!!!! Pie ni kitu ya kuleta...
Ni sawa pia coz Kuna watu wanaona dhahabu katika mchanga na wapo wanaoona mchanga katika dhahabu. Kama umeliona hilo pia sio mbaya kuliko ungetoka patupu bila kuona chochote
Basically unafuu upo kwenye kufyatua mwenyewe thats why kuna watu wanafyatua na kuuza na bado wanapata faida kubwa na maendeleo yao tunayona mkuu, Okoa pesa mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.