Tanzania inachekesha kweli...sasa waziri kama hajui hivi meya na madiwani si watakuwa wametoa macho tu kwa mshangao!!!!
Haki ya mungu mi tanzania nahama..nitarudi watanzania kakiweka watu wenye akili madarakani....hapana nimeghairi sihami.ngoja nikomae niwe mmoja wa wakombozi wa taifa hili
namkubali sana mnyika,ila kwa ufupi namshauri asije akalewa sifa kama wale wengi,afanye kazi ya chama na mungu atampa uongozi kulingana na dhamira yake.
mimi nampendekeza mnyika,ni kijana anayejituma asiye mroho wa madaraka,ila pia namshauri asije akalewa sifa yakamkuta ya mwenzie....human diginity is everything to me
iinavyoonekana wao wanavuna chadema magamba wanaonunua kadi na kutoka(naona kadi za cdm zote mpya),na sisi tuwakwangua ccm wote kuanzia waliojiunga enzi za mwalimu hadi kizazi cha akina mkapa,hakuna mwehu wa kujiunga na ccm kwenye manyanyaso haya ya kikwete
inasemekana kuwa wanamtwara wamekuwa wajeuri na majasiri juu ya tamko la serikali kuhusu gesi yao kutokana na hamasa kubwa waliyoipata kutoka kwa rais huyo mstaafu.mkapa iliwaambia wanamtwara wakiruhusu gesi kwenda dar es salaam watajihalalishia umasikini wao kuwa wa kudumu.
amesema wapigane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.