Recent content by ben2025

  1. ben2025

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ni mtu mkubwa nchini, si haki kupewa kazi ya kukusanya Korosho

    unaijua sana jeshi??? unajua kaz za jwtz ni zipi? mbna ukuta kapew jeneral nayy akampa mkuu wa jkt kwan ukiwapa jkt si bado wasimamiz wakuu ni maofisa na askari wa jwtz??? mwanajeshi kaapa kutii maagizo ya mkubwa unataka akutii ww??? hata skaut huijui ila unachangia mambo ya wakubwa watz bhana
  2. ben2025

    JamiiForums Tanzania Kama hii tweet ni kweli basi Air Tanzania ni ya kuhurumiwa

    daaaaah watz vichaaa sana ety unafurah ndege LA taifa lako kuwa kweny hali mbaya nadhan hapa weng wangeshaur wafanye promotion km qatar na emirate wanafany promotion ss kina nan tusifany ivo ttcl walpotea ila saiv wana promot wapo vzr waache kufany kaz kw mazoea ila watz mnacheka mnajua...
  3. ben2025

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Magufuli ni Chuma yuko Ngangari hateteleki

    sh kazaaa tu kama zle mnazolipwa nyie kusema ujinga wenu
  4. ben2025

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa IFM adhalilishwa na Walinzi wa Ikulu kisa kupiga picha maeneo ya ikulu

    kila taifa lna utaratbu wake ukiona USA cjui kwa kaburu utaratbu mzur kaishi huko hatuwez ruhus kupga picha ety usa wanapga ulimbuken huo
  5. ben2025

    JamiiForums Tanzania Kwa tulipofika, itapendeza Rais Magufuli akijiuzulu kwa maslahi ya Taifa

    we ndo msemaj mkuu wa jesh sio nkkutafta unawez ukanambia zaidi???
  6. ben2025

    JamiiForums Tanzania Mvuto wa Magufuli kwa Upinzani: Mbunge wa Ndanda (CHADEMA), Cecil Mwambe anadi Ilani ya CCM bungeni

    mwanasiasa mtu mbaya sana narudia mtu mbaya sana
  7. ben2025

    JamiiForums Tanzania Watu 45 wakamatwa Ruvuma na tani 17 za korosho

    kamata sukuma ndani unauza korosho tofauti na serikal inavyotak ukikosa mbolea na pembejeo utaskia serikal halijal watu wake shenziii kabsa
  8. ben2025

    JamiiForums Tanzania Viti maalum Bungeni hawaoni juhudi za Rais Magufuli? Dhana ya rushwa yapata ushahidi

    kwan viti maalam ni wa upinzan??? wale moja kwa moja wapo kwa mh jpm
Back
Top Bottom