Folk, una heri wewe, na umebarikiwa kuijua siku ya kufa i karibu, at least unayo nafasi ya kujiandaa kiroho kukutana na Muumba wako. Ni heri kwako maradufu kuliko kufa kifo cha ghafla mfano ajali ya gari ama heart attack. Jipe moyo mkuu, jipatanishe na Mungu, mbingu ni yako!
Candle in the wind!
Kwa taarifa yako, humu JF wapenzi wa kweli na wanaogegedana kweli wala hawajoinyeshi humu, ni mwendo wa "kimya kimya" tu. Ishu zao wanamaliza PM. Wanaoitana hapa baby sjui swirrie etc etc ni mbwembwe tu!
Ushauri mzuri, on transit cargo zote zipelekwe direct Moro na Isaka. Hapo pia tutaponya barabara zetu kuharibiwa na malori mazito.
Lakini wakati huohuo tukubali hasara ya upande mwingine. Kuondolewa kwa malori yanayofuata mizigo Dar, indirectly kuna mapato ya Serikali yatapotea, na pia kuna...
Hasara mojawapo ya punyeto kwa ladies ni kukakamaa kwa vaginal walls na kupoteza mikunjo/marinda ya vagina/RUGAE (hasa kwa wanaotumia dildo).
Kukakamaa kwa vaginal wall consequently athari nyingine hujiyokeza, nayo ni kushindwa ku absorb proteins (hasa steroids) zilizomo kwenye semen/shahawa...
Kadiri wake zetu wanavyoona wivu sisi kufanyiwa scrub huko saloon na wadada warembo, ndivyo nasi wanaume tuonavyo wivu wake zetu kusuguliwa miguu na watengeneza kucha!
Wacha tu....nilishamkataza wife hizo huduma nafanya mwenyewe! Shubaaamit
Yes, gharama ipo, lakini kama akiwa amefungua shauri mahakamani, akishinda, basi mshtakiwa wake (huyo bibie + bwanake) watatakiwa kulipa hizo gharama. Unless akakute results za DNA zinasema mtoto ni wako.
Baadhi ya members hapa wanasema DNA test ni process ndefu, wengine wasema ni gharama sana,...mimi nakuambia sivyo.
Gharama ni usafiri wako na mtoto kwenda hadi ofisi za maabara ya mkemia mkuu iliyo karibu nawe (let say kama ni Kigoma nadhani utaenda maabara ya kanda-Mwanza). Na gharama za vipimo...
Plan A:
Fanya application za chuo, ukipata admission omba ruhusa kwa mwajiri wako, nenda masomoni kaongeze elimu. Meanwhile, hama nyumba mnayoishi, mwachie kila kitu. Kaanze maisha yako. Usigombane naye wala kumpiga au kumtusi. Hiyo ndiyo fimbo itakayomuumiza usiku na mchana.
Na huyo mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.