Recent content by Ben Saanane

  1. Ben Saanane

    Tanzania ya leo bila mitandao ya kijamii, hali ingekuwaje?

    Cha moto watakiona.Si wana King wao wa Social Networks? Ajilete
  2. Ben Saanane

    Wale vijana wawili

    Nonsense.... Muda wa Toba wautumiakueneza Uongo!
  3. Ben Saanane

    Tabia mbaya ya watanzania kujisajili ndani ya familia za wanasiasa mashuhuri

    Naomba iletwe taarifa hapa.Ni lini nilijisajili kwa familia ya Mbowe? Mleta Mada leta Ushahidi wangu kwa matamshi ya Mdomo au Maandishi kuhusiana na hili. Nisiingizwe kwenye kundi ulilotaja bila ushahidi. Kwa nafasi yangu ni Executive Aide wa Mwenyekiti Taifa na Mshauri wake masuala ya...
  4. Ben Saanane

    Prof. Lipumba: Kuna hali mbaya CUF,fedha za ruzuku hazitoki sababu ya mgogoro ndani ya Chama

    Kuna huyo adui wa UKAWA kazi kuweweseka na Vyama Washirika ,Abdul Kambaya.Bado hajamfilisi Prof. tu?
  5. Ben Saanane

    Picha: Mwigulu Nchemba zamani akiwa anachunga ng'ombe, huwezi amini

    Mwigulu ametoka from Humble Background. Hii spirit ni ya ajabu. Tuwape Moyo wengine ,tusiwe Pessimists.
  6. Ben Saanane

    Makala: Buriani Komredi Mawazo, Mpe Hongera Zangu Ken Saro-Wiwa

    Ni mwaka mmoja umetimia leo tangu Kamanda Mawazo auawe Kikatili
  7. Ben Saanane

    Mwaka wa Hasara kwa Team CHADEMA Mitandaoni

    Badala ya kumfubdisha kuandika Kiingereza Mwenyekiti wake Taifa yupo tu na Kupambana na Ben Saanane na Akina Kibatala.
  8. Ben Saanane

    Mwaka wa Hasara kwa Team CHADEMA Mitandaoni

    Hahaha huyu abakie huku kwenye Local Politics tu. Kwanza Republican ni sawa na CHADEMA kiitikadi. Kwa hiyo jiangalie sana Lizaboni. Pole!
  9. Ben Saanane

    Tetesi: Ben Saanane kuna biashara gani unafanya na ubalozi wa Sahara Magharibi na Kundi la TASSC?

    Assignment 3H0 Kama huna uwezo wa kunipeleka Mahakamani fanya mojawapo wa mambo haya 2 1:Zichukue au 2:Nyamaza Kimyaaah!
  10. Ben Saanane

    Nimenunua miwani kukinga macho lakini bado watu watajua kuwa nimelewa. Nifanyeje nisijulikane?

    Yaani nimecheka Sana.Mwakani nasheherekea Miaka 10 JF Mungu akipenda.Dah... Sasa mkuu si utafute tu sober house au Upewe tiba mbadala?Unateseka sana
  11. Ben Saanane

    Ningekuwa mwana CHADEMA ningeshauri tukio kubwa tarehe 05 Novemba, 2016

    Mkuu naona kama Unajaribu kutu-preempty wakati tumejiandaa.
  12. Ben Saanane

    Milinga: CCM haitumii miujiza kutawala; ashangaa Mbowe Div.O kuongoza PhD kimiujiza!

    Hivi yeye kuwa hapo Bungeni tu haoni kuwa ni Muujiza? Halafu anaonekana anahitaji.elimu ya Uraia.Anaijibia Serikali badala ya kuisimamia Serikali.
  13. Ben Saanane

    Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!

    Mkuu Pasco kwa kiasi fulani nakubaliana na wewe ila sasa Na Kutoka(Exodus) 20:5 imekatazwa kujifanyia miungu wengine na kuisujudia . Mungu ni mwenye wivu. Ilitolewa tahadhari tu juu ya kugusa Utukufu wa Mungu Hii miungu "Catalyst" mingine inaturejesha katika Kumwabudu Baali. Wanaoelewa...
Back
Top Bottom