Kaka Pascal, sikajukuelewa vizuri. Kwamba kwa sababu ya "right to pricavy" media hamruhusiwi kufuatilia maisha binafsi ya mtu yeyote. Je, kujua kwenu kwamba yupo wapi, anafanya nini, hakujaivunja hiyo haki, na mmejuaje bila kumfuatilia?
Hamuoni kwa mashaka waliyonayo watanzania juu ya uhuru...