Recent content by ben-jochannan

  1. ben-jochannan

    Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

    mods fungia huyu katukana tusi zito..
  2. ben-jochannan

    Changia Mabadiliko Chalinze

    pamoja kamanda hata waibe kura mapambano haya haytorudi nyuma hadi kieleweke...
  3. ben-jochannan

    Dr. Kigwangala Huru!, Sasa Yuko Live On Clouds Radio!

    mkuu usiibiwe kirahisi na haya maigizo,wanatafuta justification ya kuendelea kuwakamata wapinzani...polisi na ccm lao moja.
  4. ben-jochannan

    Dr. Kigwangala Huru!, Sasa Yuko Live On Clouds Radio!

    nimekuwa nikisema amepanga tukio zima mweh.u huyu,hakuna gamba linaloweza kusimamia maslahi ya taifa,toeni maigizo hapa...hutokaa usikie polisi wakimfungulia kesi....
  5. ben-jochannan

    PICHA: Tukio la DR Hamis Kiwangala alivyo tiwa mbaroni huko NZEGA

    hii clip niliiona jana itv,hawa polisi walikuwa wanapiga mabomu na risasi kuwatawanya watu na hapo kigwa walikuwa kama wanamuokoa na sio kukamatwa kama mnavyodhania,amepanga hili tukio zima aonekane shujaa,hili gamba haliwezi kuniibia kirahisi hivi!!!!
  6. ben-jochannan

    Tanganyika imerudi

    ndiyo tanganyika irudi
  7. ben-jochannan

    Hamis Kigwangalla anusurika kuuawa kwa kupigwa risasi Nzega

    staged event..hamjastuka tu wakuu?huyu mhuni anatufanya sisi mabwege!!!hayo yote ameyapanga kupata umaarufu kwa damu za hao vijana,kaanza kampeni za 2015,..akafie mbele huko.
  8. ben-jochannan

    Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

    ile mipasho huoni kuwa ni ujinga ule!!!!!!
  9. ben-jochannan

    Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

    alijua hotuba imejaa mipasho na hataki kuwa associated na muimba taarabu aliyeshusha hadhi ya urais..
  10. ben-jochannan

    Nigerian's under 17 Football team

    movie actor mmoja namuona hapo kulia..
  11. ben-jochannan

    Maajabu ya mwenyeezi mungu tsunami

    aisee,something to think about..
  12. ben-jochannan

    Kumekucha Dodomaaaa hatariii!

    rais wa kwanza kuunda vikundi vya mipasho na kuvihonga hela kumwaga mipasho kila anapochemka..a laughing stock president,nitamiss mipasho akirudi msoga mwakani.
  13. ben-jochannan

    Hamis Kigwangalla anusurika kuuawa kwa kupigwa risasi Nzega

    ipo siku utakiri hadharani ccm ni majambazi,..mburura we
  14. ben-jochannan

    Hamis Kigwangalla anusurika kuuawa kwa kupigwa risasi Nzega

    nimeona kwenye tv,wale polisi sio kwamba walitaka kumpiga risasi,walikuwa wanamuokoa kama rais,hili tukio amelipanga huyu hamis k,muhuni sana huyu gamba kigwa,nyie vijana wa nzega mtauliwa sana kwa hii mipango ya kumtengenezea umaarufu inayopangwa pale tamwa magogoni..
  15. ben-jochannan

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    siku moja nitakuja kuhadithia wajukuu kulikuwepo na rais aliyekuwa na akili ya kuvukia barabara tu,jina lake aliitwa kikwete
Back
Top Bottom