Recent content by ben brancoII

  1. ben brancoII

    Blog inahitaji matangazo(google adsense,nk) kwa anayeweza kusaidia hili faida mtagawana

    Wadau habari za usiku, Poleni na mihangaiko ya kutwa nzima kama kichwa kinavyosema hapo juu saidia kuwezesha kufanikiwa kwa hili na malipo mtagawana kila mwezi au kila itakavyokuwa, kadri mtakavyokubaliana na mwenye blog. Ni inbox namba yako muhusika atakucall myajenge. Karibuni
  2. ben brancoII

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Kwa wale wanaotumia sigara,bangi na madawa ya kulevya na wanahitaji KUACHA hii ndyo dawa mujarabu kwa ⚡wanywaji wa pombe ⚡Bhangi, sigara ⚡Mirungi , ugoro ⚡Na madawa mengine ya kulevya ukitaka KUACHA Chukua dawa inayoitwa MURDA , chukua majani yake uyaanike yakauke Kisha...
  3. ben brancoII

    Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    naam, hivyo ndvyo mambo yalivyo mkuu
  4. ben brancoII

    Njia nyepesi ya kumuadhibu mchawi anayekuja nyumbani kwako kukuroga

    -Nunua mafuta ya simba -UDI Wa kijiti 4 -Unga Wa baruti -Magome ya mkungu yaliyokauka Changanya mafuta ya simba,baruti,na unga Wa magome ya mkungu Pakaa Dawa hyo kwenye UDI 4 za kijiti Chomeka udi hizo kwenye pembe NNE za Nyumba au chumba Washa udi hizo ukianzia kushoto...
  5. ben brancoII

    Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Amani iwe juu yenu leo nawapa tafsiri ya ndoto hii ya kupaa au kuruka na kwenda hewani Ndoto hii huotwa sana na watu wenye ustaarabu au wapole na wenye dalili za mafanikio au wenye mipango mikubwa inayokwama Kuota unapaa kama wewe ni mtegemeaji kazi za vibarua na kazi za kuitwa...
  6. ben brancoII

    JINSI MCHAWI ANAVYOMWITA JINI NA KUMTUMA

    NJIA YA KIGANJA CHA MTOTO Njia hii ya kumuita jini muovu aliyehasi na kumtumia kwa kutumia kiganja cha mtoto mdogo ambaye hajabalehe ni njia inayofahamika sana na wachawi sababu ni miongoni mwa njia wanazozipenda sana kutokana na urahisi wake na wepesi wa kuleta majibu kwa kuhudhuria kwa jini...
  7. ben brancoII

    Mafuta asilia kwa ajili ya kukuza nywele zako na kuzifanya ziwe laini

    Watu wengi hupenda sana nywele zao ziwe katika muonekano mzuri na zenye afya tele,katika hali ya kutafuta mafuta ya kuweza kuziboresha zaidi watu wengi hujikuta wakitumia gharama nyingi katika kununua mafuta mbalimbali yenye makemikali na hatimaye kujikuta wanapata athari ktk nywele zao bila...
  8. ben brancoII

    Tengeneza jini la kulinda shamba lako au nyumba kwa kutumia kuku mwekundu

    zinahusika mkuu usibishe kwa ushabiki tuu,elimu ya majini ina uhusiano mkubwa sana na kitabu chetu kitukufu cha kuran
  9. ben brancoII

    Tengeneza jini la kulinda shamba lako au nyumba kwa kutumia kuku mwekundu

    mimi najua ninachofanya na huu ni ushirikina kwa mujibu wa imani ya dini,lkn kinyume cha imani ya dini si ushirikina,fanya kujaribu ulete mrejesho:)
  10. ben brancoII

    Tengeneza jini la kulinda shamba lako au nyumba kwa kutumia kuku mwekundu

    Usinikariri vibaya mkuu,sijasema hayo mambo yapo kwenye uislam bali hizo sura zinapatikana tu kwenye msahafu
  11. ben brancoII

    Tengeneza jini la kulinda shamba lako au nyumba kwa kutumia kuku mwekundu

    kutengenezwa ni lugha tu inayotumika lkn kiuhalisia hakuna binadamu anayeweza kumuumba jini bali wanakuwa tayari wapo ila hizo njia ni kama kumtiisha atoke huko aliko na kukutii.
  12. ben brancoII

    Tengeneza jini la kulinda shamba lako au nyumba kwa kutumia kuku mwekundu

    ahahahahah umenifanya nicheke kwa saut mpaka watu wanishangae,asante kwa kunipunguzia stress mkuu
Back
Top Bottom