Msiwe wepesi wakusahau mwaka juzi makonda anapambana na ushoga na madawa ya kulevya aliruhusu lissu ???
Serikali inamkubali kuwa TL anajua akiongea tu serikali inaanza kukuhangaika!
Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu mwachieni tu maana mungu ameinusuru nafsi yake Tena maadui wanainuka kisa kuongea yaliyomkuta ,serikali yapaswa kufanya kazi sio kumwangalia Leo lissu ameongea Nini?
Duuh
Basi tuombe serikali nayo ipate interview ya pili maana ya kwanza tu nayo tuwasikie nao wanasemaje??
Sent using...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.