Recent content by beluwa

  1. B

    Huu hapa ukweli kuhusu majini (eneo ambalo wanapatikana kwa wingi jijini Dar es Salaam)

    LIKUD mimi nitayatoa vipi majini Pia niwahangaishe maumbwa walionirushia matakataka.
  2. B

    Nairobi to Jozi?

    Niko Kenya! Nataka nikija mpaka Arusha nisirudi mpaka Dar, hio safari ndefu Hakuna bas za Arusha-Tunduma direct?
  3. B

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kenya ni takataka, mm ni mkenya, watu pumbavu kabisaa
  4. B

    Nairobi to Jozi?

    Nilikua Dar for a month hapo 2022, lakini kweli Dar pagumu aisee, ila nilijaribu niwezavyo kuhustle, kawni Ilinibidi nirudi Kenya, licha ya moja mbili tatu zinazotuma nipachukie hapa Kenya SANAA! Sababu zenyewe ambazo zikasababisha niondoke na kwenda Dar. Imefika mda tena masaibu yangu Kenya...
  5. B

    Nahitaji msaada wa kuondoa uchawi na majini

    Basi ikae, kwani washuhuda pia walisema walivyokosa imani lakini wakasaidika. Imani ni scam, kama mhubiri hana nguvu, atejitetea huna imani. Mbona nisipone kabla, na hapo imani yangu itakuja na hitobabaika kamwe?
  6. B

    Nahitaji msaada wa kuondoa uchawi na majini

    Nimeuliza sana pale FB, nimepata mwingine mabibo nitaenda nkipata time Amesema anaweza
  7. B

    Nahitaji msaada wa kuondoa uchawi na majini

    Bado, lakini kuna wataalam kama wawili ambao wanakaa kweli kwani wamenambia hawatoi majini lakini wanatibu vinginevyo. Laiti wengine wangerahisisha mambo hivo, lakini pesa ni sumu
  8. B

    Nahitaji msaada wa kuondoa uchawi na majini

    Ukipata tiba niambie. Mwamposa ni laghai mashuhuri Siendi kwa ibada yeyote tena. I believe in fighting fire with fire. Hivi tuseme wale washuhuda wa mwamposa ni fake na wamepangwa?
  9. B

    Kenya Turns to Magufuli's Legacy Project to Revive BRT System

    Nairobi kuna majigambo mengi sana. Sasa nacompare huko na dsm, shida kubwa huko ni nafasi ndogo Pia barabara ni nyembamba sana, hamna steji nyingi za pick up / drop off, madereva hawazingatii masharti kama wa dsm. Matatu ni nuisance kwa kubeba watu wachache ikilinganishwa na mabasi. Licha ya...
  10. B

    Hello. A little help here

    Heh, nilielewa vibaya, sasa kumbe panyaroad ni vijana wahalifu
  11. B

    Hello. A little help here

    Bana yamenifwata. Uko pande gani?
  12. B

    Hello. A little help here

    Nimepata nuru, its not hard or expensive to enter legally, I appreciate your comments. Ntakuja legally sasa.
  13. B

    Hello. A little help here

    Itakua pesa ngapi. Niko na stress banaa. Nasumbuliwa kufanya kazi, hela zaendelea kupungua ju ya mahitaji
  14. B

    Hello. A little help here

    Yule mchawi mbaya ni anayekufuata kila mahali, wengine najua wanakuroga wanasahau na wewe, hivo unaweza kujikomboa. Hawa ni washenzi wanatumia majini kunufuatilia bila kikomo mpaka nianguke niishe kabisaa.
  15. B

    Hello. A little help here

    Hmm, moto upigwe kwa moto lakini
Back
Top Bottom