Recent content by Beloyansy

  1. B

    Nchimbi: Kiongozi wa kweli habagui anaowangoza. Huwezi kuwa na vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini

    Hiyo ndio miiko ya CCM ninayoifahamu Mimi sio mipasho ya akina Makonda,
  2. B

    Tusiendekeze nyadhifa(titles) za kifamilia katika siasa na uongozi wa umma

    Nilichokiona Makonda kaumia sana kuondolewa Kuwa mwenezi, na anawasiwasi wa kupigwa chini kabisa,anachofanya saiv nikutumia gharama yeyote aonewe huruma na Raisi
  3. B

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

    Aliulizwa Obama kitugani huku fanikiwa ktk uongozi wako na unaumia kutofanikisha alijibu kuwa"ni kutopatikana kwa chanjo ya cancer wakati mamilion ya Wamarekani wakiangamia kwa mwaka".ni kweli ocean road wagonjwa wa cancer wapo lakini huwezi linganisha rate ya cancer Tanzania na first world...
  4. B

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

    Magufuli Nilikuwa simkubali Kwa mambo kadhaa ila ingekuwa ndio yupo ktk hili kunawatu wangewajibika. Athali za mazao ya GMO yaliyoasisiwa na kampumi la Monstanto corporation ni makubwa sana, Mazao haya huathiri deli za mwilin hivyo kuelekea magonjwa ya cancer,hubadili hormone za mwilin,hushusha...
  5. B

    PreGE2025 EFM wakejeli maandamano ya CHADEMA

    Wakiandamana kwa fujo na kufunga Mitaa, mtafungua thread hapa kwamba Chadema ni chama Cha vurugu (note my word) Hakuna asiyejua Chadema kuwa ni Chama Cha mikikimikiki.kwahari ya kisiasa iliyokuwepo kwa takribani Mika nane iliyopita SI rahisi kupata waandamanaji wengi kiasi hicho,Hadi hapa...
  6. B

    Vyuo Vikuu 2 vya Tanzania ndani ya Top 10 kwa Ubora wa Elimu Kusini mwa Jangwa la Sahara. UDSM haimo

    Aisee boss, sijui nakupataje unipe madini kidogo kuhusu maelezo yako ktk maada hii,NWO naifaham kwa sehem lakini sijajua kama wanaagenda kama hizi. Nakupataje mkuu at least unaweza indirect hata source za kilichonyuma ya picha hii
  7. B

    Vyuo Vikuu 2 vya Tanzania ndani ya Top 10 kwa Ubora wa Elimu Kusini mwa Jangwa la Sahara. UDSM haimo

    Yaani UDSM imekuwa ya hovyo Sana siku hizi,Generali Ulimwengu alisema "sikuhizi UDSM imekuwa form ten" yaani chuo kinampangia mtu namba ya kugikiri. UDSM miaka hiyo mambo sensitive ya nchi Yalikuwa yananzia pale kupingwa au kuungwa mkono kwa hoja,rejea kipindi Cha Akina Samweli Sita waanzilishi...
  8. B

    PreGE2025 John Heche: Makonda anawahoji Polisi kwenye mkutano wa hadhara wa CCM kwasababu anawaona kama green guard

    Tofautisha kulopoka majukwaani ili kufurahisha watu professional standing order .CCM haijaajiri askari katika nchi hii ni serikali ndiyo imeajiri,Makonda apige kelele na madiwan,wabunge na wenyeviti wa vijiji n.k (Waliopatikana kwa njia ya siasa) na SI kuhoji watu walioingia kazin kwa weledi wa...
  9. B

    Mwaliko wa Vatican: Je, Mama kumsujudia Papa kwa kuibusu pete yake?

    Ndugu kama umeandika haya pasi na kujua basi Mungu akurehemu,Lakini kama unafanya kwa Makusudi unaonyokubwa juu yako.Papa kavalishwa hicho cheo kinyume kabisa na neno la Mungu Tena cheo hicho kimeshiba damu za watu wengi sana........
  10. B

    PreGE2025 Makonda: Tutawapa kila kitu CHADEMA lakini kura hawatopata

    Hizi ndio kauri tunazosema awe makini huyu jamaa, Hivi mwandishi wa habari akimuuliza Swali "Ndugu Makonda kwa kauli yako uliyosema Je Risasi alizopigwa Akwilina Hadi kufa,mauaji ya Mwangosi, mauaji ya Mawazo,mabomu aliyowahi kupigwa Dr Slaa Arusha kwenye maandamano n.k Je ni nyinyi CCM mliagiza...
  11. B

    Ziara ya Makonda mikoani inamjenga sana yeye kuliko Chama

    Saiv Makonda ndo mwenye CCM tangu kiongozi wa juu Hadi wa chini wanamwangalia yeye! Jambo ambalo SI zuri sana kwenye Chama Cha siasa. Pia Makonda inatakiwa awe makini sana na kauri zake kunawakati anaongea vitu vitakuja kumgalimu kama kauli yake wakati akiwa Moshi anatumia muda mwingi kuattach...
  12. B

    PreGE2025 Tundu Lissu: Nitakuwepo tarehe 24 Dar es Salaam na nitashiriki maandamano

    Makonda alikurupuka sana kusema Lissu kakimbia maandamano, miongoni mwa wanasiasa anaependa mikikimikiki pale Chadema Lissu ndo babalao. Ingekuwa ngumu sana kwa Lissu kutoshiriki maandamano hayo.Makonda ilibidi amzungumzie Lissu baada ya maandamano kama asingekuwepo kweli.
  13. B

    PreGE2025 Hili pendekezo la kuruhusu wafungwa wapige kura linaonyesha dhamira ovu na nchi yetu

    Hilo jambo halijakaa sawa,mfungwq atapigaje kura wakati hata kampeni za uduwani,ubunge na uraisi haja shiriki Wala kisikiliza sera.Sina hakika kama magereza yetu yanavyombo vya habari kama TV!hapa wanataka kutengeneza kura feki
  14. B

    Nimesoma maoni ya Chadema kuhusu miswada mitatu; Je, huu uchambuzi umefanywa na wasomi wa Tanzania au wa Havard University?

    Ninyi ndomlikuwa mnalalamika Magufuli alipokuwa akisifiwa kama Mungu Leo mnarudia na nyinyi kusema Chadema ni Chama Cha Mungu! Acheni upuuzi huu "kila neno Liwe la Siri au wazi litaletwa hukumuni" Mhubiri 12:14
Back
Top Bottom