Search results

  1. Belo

    TANZIA Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe

    Pumzika kwa amani Sanctus Mtsimbe Dunia tunapita
  2. Belo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    ETH ni mkubwa kuliko Pep
  3. Belo

    Uuzwaji wa Viwanja vya Serikali mtandaoni ni Hatua kubwa sana

    Tuelezee zaidi kuhusu hiyo Premium
  4. Belo

    Benki ipi ina riba nafuu kwa mkopo wa watumishi?

    Post yangu ni ya 2016 imepita karibia miaka 8 sidhani kama bado ni valid kwa sasa.Nafikiri mwajiri anakuruhusu kutumia bank yeyote
  5. Belo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mashabiki walim-hype sana ETH baada ya decision zake kuwaondoa CR7 & DDG but ukweli hii team sio size yake
  6. Belo

    Kampuni ya PAF Promotion yampeleka Mahakamani Mwakinyo, yamdai fidia ya mamilioni

    AY & MwanaFa walilipwa na Tigo ,almost billion 3 kwa Tigo kutumia ringtone ya muziki wao,Kama Mwakinyo alivunja mkataba na waliomshitaki wana mawakili wa uhakika watapata hela ya kutosha
  7. Belo

    Kizazi cha sasa cha Rhumba nani mkali kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?

    Sijaona nyimbo yeyote toka kwenye Album yake alitoa mwaka jana inaitwa Dynastie 1 ya mwaka jana sikiliza hizi nyimbo then urudi utoe tathmini yako again
  8. Belo

    Kizazi cha sasa cha Rhumba nani mkali kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?

    Nimwasikiliza wote na nimekuja kugundua kuwa wengi wanamfahamu Fally Ipupa kuliko Ferre Gola na sababu kubwa ni Ferre Golla anafanya Traditional Rhumba tofauti na Fally Ipupa ambaye yeye anafanya Modern Rhumba
  9. Belo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ingekuwa enzi za SAF Evan Ferguson angekuwa mchezaji wa Manchester United
  10. Belo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Manchester United + ETH walitaka kumrudisha Greenwood but kulikuwa na pressure kubwa kuanzia kwa sponsors, wanasiasa,football pundit ,member wa timu ya wanawake na baadhi ya staff wa klabu walitishia kuandamana/kuacha kazi
  11. Belo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Timu iliyumba sababu kubwa ni key players kuuzwa (De Ligt,De Jong ,De Beek,Ziyech) waliuzwa baada ya yale mafanikio na DOF Overmars kujiuzulu baada ya scandal ya kwanyanyasa wafanyakazi wa kike Frank De Boer alichukua ubingwa wa Holland misimu 4 mfululizo lakini alishinda game 1 tu EPL
  12. Belo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hata ungekuwa wewe sidhani kama ungeondoka sehemu unayopata salary £350,000 + kwa wiki na hakuna timu nyingine ambayo ingeweza kukulipa Phil Jones amekaa miaka kama 5 hachezi mpira mashabiki hawamtaki yeye yuko kimya anakusanya pesa
  13. Belo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Pogba aliondoka bure akaja kununuliwa tena kwa £ 86m
  14. Belo

    Zakazakazi: Yanga sio Mabingwa mara 29 na Simba sio Mabingwa mara 22

    Hizi data sio za kweli Majimaji,Mtibwa,Prison,Coastal ,Azam zimechukua ubingwa mara moja moja tu na hakuna timu ya Zanzibar iliyochukua ubingwa wa bara 1993 Yanga ndio alikuwa Bingwa akaenda Uganda kuchukua kombe la Africa Mashariki
  15. Belo

    Zakazakazi: Yanga sio Mabingwa mara 29 na Simba sio Mabingwa mara 22

    Hakuna timu iliyojumuisha hilo kombe,So Small Simba,Mlandege nao walishachukua ubingwa wa ligi kuu (hawa walishachukua ubingwa wa Muungano) Kombe la Muungano lilikuwa linafanyika baada ya kuisha kwa ligi ya bara na ligi ya Zanzibar ( so mabingwa wanajulikana) na ndio ilikuwa platform ya timu za...
  16. Belo

    Zakazakazi: Yanga sio Mabingwa mara 29 na Simba sio Mabingwa mara 22

    Ligi ya Muungano sio ligi kuu,ilizikutanisha timu 4 zilozoshika nafasi 4 la ligi ya bara na timu 4 zilizofanya vizuri Zanzibar
  17. Belo

    Simba yamaliza msimu kwa unbeaten record ya mechi 21

    Malizia Yanga Bingwa
Back
Top Bottom