Recent content by Belleringal

  1. Belleringal

    Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

    We nae huna akili umeona nilichokiandika ama unadandia treni ...utaanguka bro ...haya tufanye ndo umenidharau nini kimetokea ?
  2. Belleringal

    Nashida ya cotton cake

    Nilikuwa nashida ya cotton cake ....kwa mtu mwenye connection kwa namna moja ama nyingine tafadhari nisaidie ...
  3. Belleringal

    Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

    Kwani hujui kuna watu wanampenda shetani na huku wakijua ni mwovu ...bro siwez penda unachopenda wewe na huwez penda ninachopenda ...
  4. Belleringal

    Stories of Change: Golder Anael Mmari ashinda Tsh. 5,000,000/- toka JamiiForums

    Apo subiri ....... " Nashukuruni nyote mlionipigia kula , ushindi huu sio wangu pekeyangu bali ni wa sisi sote " yani Mimi hapo ndo naonaga bora kuangalia tu [emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Belleringal

    Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

    Unajua makonda nilikuwa namkubali Sana lakini ile issue ya clouds na mo kanitoka kabisa yanii
  6. Belleringal

    Sabaya

    Marehemu asemwi vibaya wew [emoji23]
  7. Belleringal

    Sabaya

    Hii picha naanza kuielewa anyway ...mwamba arudishiwe mahari ama mahari hairudishwi [emoji23]
  8. Belleringal

    Mahusiano na mtu nisiyemjua

    Asante ase [emoji4]
  9. Belleringal

    Mahusiano na mtu nisiyemjua

    Nahisi hii baby ilikuwa tatizo [emoji23]
  10. Belleringal

    Mahusiano na mtu nisiyemjua

    Duh ni vile hatujuani ila asante shoga mwenzangu [emoji23]
  11. Belleringal

    Mahusiano na mtu nisiyemjua

    Na nilitoka kwa sista bila kusema kitu àise na hajui.had leo kitu anajua ni iliibiwa kwenye daladala
  12. Belleringal

    Mahusiano na mtu nisiyemjua

    Kauze nawewe kama unaona nafaidi bro [emoji23]
  13. Belleringal

    Mahusiano na mtu nisiyemjua

    Kivipi kaka
Back
Top Bottom