Bro we ndo umepotoshwa coz umeaminishwa tu na umeyabeba jins yalibo without questioning wala reasoning mi japo sjakwambia kua naamini katika elimu za kizungu lakin huku ni facts,reasoning pamoja na kufikiri kwa kina ndo msingi si kuamini amini tu hovyo
Mimi siamini dini yeyote bahati nzur, na kuhusu ardhi kunibana hata ww litakutokea hilo japo mi siamini huo upuuzi, ebu acheni uvivu wa kufikiri yaan kisa tu umekuta babaako na mamaako wanafuata hayo ukakuzwa kwenye hayo hata ulipo pata akili zako huwezi changanua mambo kweli uyapime come on
Collumbus hakugundua America❌️ N0!!!! unatakiwa useme Christopher alikutana na bara ra America au useme alivamia America mnamo mwaka 1492,au alifika America mnomo mwaka 1492
Kama hicho kisimu chako cha kichina ki creator mtu aliye kiunda kina systems kadhaa ambazo ni simple systems kama chaji,sauti na mifumo mingine vipi kuhusu wewe usiwe na creator ambaye ni zaidi ya genius ambaye katengeneza jinsi ulivo bora na unamifumo ming na very complicated na akakupa na...
13.Ali fanya elimu kuwa bure ili wananchi wote wenye navyo na wasio kuanavyo waweze kupata huduma hii muhimu kwaajili ya ukombozi wa fikra zao na kufungua maisha yao mi ni shuhuda wa jinsi elimu bure ilivo nisadia had leo hii nilipo mimi hilo tu linanitosha kumtaja kama kiongozi bora kabisa ktk...
Hayo nimachache tu katika mengi na wanao mdiss chuma wengi wao ni zao la wazazi waliokua na vyeti feki, ila ili nchi yetu isimame tulimhitaji sana huo ndo ukweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.