Recent content by behindthescene77

  1. behindthescene77

    JamiiForums Tanzania Babu yangu hanithamini.

    Hahahahhaa jiongeaze tu!!! Akili kumkichwa
  2. behindthescene77

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa JF mnisamehe jomooni

    Sawa mama Sabrina kila laheri. Naelewa unachokitaka Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
  3. behindthescene77

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    Hamna mke hapo aisee, kwa huo upupu. Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
  4. behindthescene77

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    Dah hakika umeongea vyema sana, na hio anachofanya ni ulimbukeni tu Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
  5. behindthescene77

    JamiiForums Tanzania Mkomeshe Mwanaume anayehitaji Namba yako ya simu

    Hio Kumkomesha ili iweje, yaani target ni nini hasa, au ni selfishness? Hakika hayo ni mawazo hasi kwa dunia ya sasa hivi , hebu badilika kidogo bidada.
  6. behindthescene77

    JamiiForums Tanzania Mkomeshe Mwanaume anayehitaji Namba yako ya simu

    Muanzishie mada kama anaishia kusalimia.
  7. behindthescene77

    JamiiForums Tanzania Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

    Huo Uzi wako unamaanisha wawindaji humu wapo wa kutosha sio!!! Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
  8. behindthescene77

    JamiiForums Tanzania Vifaranga vya kuku 6,400 vyateketezwa kwa moto baada ya kukamatwa vikiingizwa nchini kinyume na sheria kutoka Kenya

    Hakika hii sio akili ya kawaida, kuna walakini hapo. Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
  9. behindthescene77

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla aagiza kampuni ya Uwindaji ya OBC ya Loliondo kurudi walikotokea kabla ya Januari 2018

    Safi waziri kigwangalah kwa uthubutu huu, hakika tukiwa na mawaziri wa aina hii 10 basi nchi itafika mbali. Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
  10. behindthescene77

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lissu: Mange kufunguka

    Huyu akisha elezea what will be the aftermath Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
  11. behindthescene77

    JamiiForums Tanzania Nairobi Hospital: Hatujapokea fedha zozote kutoka Bunge la Tanzania

    Itakuwa kashfa kubwa kama zimewekwa ndani Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
  12. behindthescene77

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa

    Of course ni muhimu ila asije akapimwa mkojo, nawaza tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. behindthescene77

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI, George Simbachawene na Naibu Waziri wa Ujenzi, Edwin Ngonyani wajiuzulu

    Ni mwendo wa kuwajibika tu. Let's see niongezeeni popcon aisee!!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom