Hii nchi nashangaa an pamoja ukuruti wote tulioupitia,tunaogopa kuwadhbt hawa wasiojulikana nmeamini waangushia course walikuwa weng,,haiwezekan kurutii aliyeshindikana ashndwe kuwakabili hawa wajinga
Sent from my SM-N7505 using JamiiForums mobile app
Ww huna akili kuanzia typing yako mpaka mawazo yako,una roho mbaya kama ya Ndungai kwanza umehama maada tatzo Lumumba inakusumbua..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan nn wasije na huku TZ jaman naamn mpaka sasa wasiojulikana wasingekuwepo.,hii sera ya nchi Huru et haipaswi kuingiliwa na mataifa makubwa ni ushenz ndo raia kila cku wanakufa kwa ushenz wa madikteda kama Jiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan nyie mnazani Chadema inakufa kwasababu ya wabunge kwenda Lumumba,,endeleeni kujidanganya ukweli wa upinzan upo huku mtaani ndo utajua jinsi gan CCM haikubaliki.
Yaan endelea na hzo ngojera zako na huo unafk mkubwa ulionao..waTz wa sasa cyo miaka 50 iliyopta kila mtu anajua mbivu na mbichi time will tell kwa huu uhuni wenu mnaojisifia nyie mananga wa demo..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.