Recent content by beer

  1. beer

    RWANDA: Mamlaka ya Mapato yatangaza kupiga mnada mali za familia ya Diane Rwigara

    Kuna maisha baada ya haya ya duniani...kuna watu hawana hofu ya mungu hata kidogo, Utaenda kumjibu nini Mungu kwa Uonevu Huu...!?
  2. beer

    Msaada: Nawezaje Kudownload Videos & Songs Kwenye iPhone Device?

    Vp itaweza kuplay offline!? Nimesearch imekuja Tub!d! Sasa sijui ndio hiyo or not!?
  3. beer

    Msaada: Nawezaje Kudownload Videos & Songs Kwenye iPhone Device?

    Msaada: Nawezaje Kudownload Videos & Songs Kwenye iPhone Device?
  4. beer

    iPhone Users!

    Subiri waje kutujuza...
  5. beer

    iPhone Users!

    Habari! Tafadhali...Nahitaji Kufahamu Jinsi ya Kudownload Music na Videos through iPhone Device.
  6. beer

    Matangazo ya dawa za nguvu za kiume mitaani na hata katika mitandao ya kijamii yamepungua

    Hakuna dawa ya kuongeza nguvu za kiume... Kikubwa ni Kula Vizuri, Fanya Mazoezi, Kisha Pumzisha Mwili Wako. Ukizingatia haya Uta Perform sana ukiwa Faragha na mwenzi wako... Naomba Kutoa Hoja.
  7. beer

    Tecno watoa simu ya camera ya mbele yenye mp 21

    Honestly am not familiar with tcno brand hata iwe quality vipi... Kuna kitu kinaitwa Samsung Galaxy A9...ni Noumer!
  8. beer

    Ni kuhusu nyongeza ya mshahara kwa wafanyakazi wa serikali

    Habari za muda huu ndugu wanajamvi wa JF. Naombeni kuuliza kwamba ni nani kati yetu aliyepata increment ya salary kwa watumishi wa umma mwezi huu wa September? Naomba kutoa hoja.
Back
Top Bottom