Recent content by Beelove

  1. Beelove

    Kwa wanawake-Hivi huwa Mnafanyaje mkigombana na wapenzi wenu halafu upwiru umekushika

    mwanamke una uwezo mkubwa sana wa kucontol hisia (mihemko), wiki 2 tu unashindwa jizuia? my dia kama anajua amekukosea na haoneshi dalili ya kuacknowledge kosa, ukimtafuta mtaumaliza upwiru ila hatokuheshimu tena ni sawa ya kuwa umempa uhuru wa kukupiga matukio, ji keep busy uone kama hizo hisia...
  2. Beelove

    Jikoni na Beelove

    nimeboresha boss karibu
  3. Beelove

    Jikoni na Beelove

    unapika na kula picha? anyway ntalifanyia kazi
  4. Beelove

    Jikoni na Beelove

    Kwa wale wapenzi wa kupika ntakua nashare baadhi ya mapishi tofauti tofauti: mapishi haya unaweza ongeza au kupunguza vitu kutokana na upendeleo wako (hivyo sifungamani na mtu yyt yule). 1. UPISHI WA TAMBI ZA MAYAI MAHITAJI: Tambi nusu pacti...
  5. Beelove

    Keki na vitafunwa

    asante sana barikiwa
  6. Beelove

    Je kuna unga wa kunde na hupatikana wapi?

    unga wa kunde upo na unapatikana sokoni, mkoa wowote uliopo
  7. Beelove

    Je! Hapa ni wapi

    geita
  8. Beelove

    Keki na vitafunwa

    kwa mtu anaeanza biashar ya keki ni nini anatakiwa kufanya, naomba msaada tutani
  9. Beelove

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    wanawake wengi nikiwa mmoja wapo mimi napenda perfume za kiume kwa sababu utengenezwaji wake ni tofauti na nyingi ni strong sababu wanaume kwa kawaida huwa wanajasho kali sio kama hamna wanawake wenye harufu kali i mean jasho (wapo pia) point yangu ni kwamba ili kuendana na jasho la wanaume...
  10. Beelove

    Kwanini wadada wa kiafrika wengi mnachukia asili ya nywele zenu ? mmekazana na mawigi, weaving, rasta, n.k. Please acheni kujichukia, love yourself.

    kusukia maweaving au kuvaa wigs haimaanishi kuwa tunachukia nywele zetu za asili, tunaweza sukia aua kuvaa ikiwa ni sehemu ya utunzaji wa hizo nywele za asili pia
  11. Beelove

    Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

    this is nice, inamfanya mdada awe very smart
Back
Top Bottom