Ndipo ulipofikia uwezo wako wa kufikiri.
Kuna watu huwa nashindwa kabisa kujua hasa nini hukaa kwenye ufahamu wao!
Anyway, acha nisiongeze neno nisije kutukana😞
Mtoa mada ana hoja inayohitaji majibu kutoka kwenye mamlaka husika, maanake kwamba; kuna awamu ilikuwepo madarakani na hatukuwa na tatizo kama hili la umeme kukatika mara kwa mara. Anataka majibu yenye kuridhisha na si visingizio mbalimbali vinavyotolewa na waziri!
Sasa wewe nae mbumbumbu bila...
Huko Duniani tunaitwa taifa la mbumbumbu kwa ajili wa majitu kama wewe.
Badala ya kujikita kwenye kile mwenye uzi kasema kama kina msingi kiasi gani kwa watanzania kulingana na mfumuko wa bei uliopo kwa sasa, lenyewe linakimbilia kwa Chadema! Jinga kabisa!!!
Yale tuliyokataa na kumwondoa mkoloni mweupe ili tujitawale wenyewe, hadi leo ndio hayo hayo anayotumia huyu mkoloni mweusi kututawala!
Bado tuna safari ndefu sana, kazi iendelee..
Vibaraka wao tayari wamefika na majibu yao mepesi kwa maswali magumu!
Hili ndilo tatizo letu lingine la kitaifa; yaani wako watu ambao kazi yao ni kuzitetea mamlaka na viongozi wa hizo mamlaka hata kama wanafanya makosa.
Miaka 60 ya UHURU; Ujinga, Umasikini, na Maradhi, havitaondoka kamwe kwa...
Mtu mmoja alisema; "Tanzania inaongoza kwa kuzalisha wasomi ambao ni mbumbumbu, na wasio na msaada kwa taifa lao".
Badala ya kutueleza hizo safari; ama za nje ama za ndani zina faida gani kwa Taifa, mtu anatuletea hesabu za nafuu!
Huu ni msiba mkubwa!!![emoji36]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.