Recent content by Bee Ambassador

  1. B

    JamiiForums Tanzania Hivi ni dawa hipi nzuri kwa mtu aliyeumwa na nyuki?

    Huo Sio Kweli Mkuu, Hizo ni Imani Tuu 😀😀
  2. B

    JamiiForums Tanzania Online courses Za mazingira

    Habari wadau Naomba kujua Tanzania kuna online courses zinazohusiana na mazingira na zinatolewa wapi
  3. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa namna ya kuanzisha online TV

    u Hivi ile laki moja kama unaanza ni unalipia kwa mwaka mzima au hio ni kwaajili ya usajili tuu ile laki tano ipo pale pale
  4. B

    JamiiForums Tanzania Do you know bees are very Important?

    Honey bees are super-important pollinators for flowers, fruits and vegetables. This means that they help other plants grow! Bees transfer pollen between the male and female parts, allowing plants to grow seeds and fruit
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida za kutofunga simu(lock)

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. B

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida za kutofunga simu(lock)

    Wewe huwa unalog out baada ya kutumia mitandao "SEMA UKWELI"
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida za kutofunga simu(lock)

    Exactly
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio faida za kutofunga simu(lock)

    Weka na faida za kuLock Simu kisha tuvipime uzito tuone kipi bora, Maana wote tunakubaliana kwamba kilakitu kinafaida na Hasara.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ufugaji nyuki, mazao yake na huduma zingine zinazohusiana na nyuki

    Habari? Kwa yeyote anayehitaji huduma yeyote inayohusiana na nyuki Mfano, 1.Magogo ya wadogo/wasiodunga. 2.Kutolewa nyuki kwenye Majengo na sehemu hatarishi. 3.Elimu ihusuyo ufugaji nyuki. 4.Kununua/Kuuza Asali, nta na Mazao mengine ya Nyuki. 5.Mizinga ya kisasa/kibiashara/Frame na ya...
Back
Top Bottom