Recent content by beby ake mama

  1. beby ake mama

    Jinsi Katiba inavyoiumbua CHADEMA

    kweli uwenda akawaruhusu [emoji38] [emoji38]
  2. beby ake mama

    Mbinu za kuchuna na danga bila kasweet bebii kujua

    kwa hiyo nifanyeje sasa ili uyo nnae mpenda acshtukie kua mzigo unachukuliwa [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]
  3. beby ake mama

    Mbinu za kuchuna na danga bila kasweet bebii kujua

    we hunjui utam wa madanga ndo maana wasema[emoji12] [emoji12] [emoji12]
  4. beby ake mama

    Mbinu za kuchuna na danga bila kasweet bebii kujua

    nilifanikiwa haya nipe maujuzi ili nichune danga bila yeye kujua
  5. beby ake mama

    Mbinu za kuchuna na danga bila kasweet bebii kujua

    ngoja ntafute ujuzi ili kabebii kacjue af wewe jinc ya kukukamua hata ctaji kufundishwa[emoji18] [emoji18] [emoji18]
  6. beby ake mama

    Mbinu za kuchuna na danga bila kasweet bebii kujua

    Jaman, nina kasweet bebii kangu sasa nmepata bonge la danga sa ntakaa kulichuna bila sweetibebi wang kujua. naomba ombeni ujuzi kuhusu hilo [emoji115] nataka nianze kazi racmiii maana kuna vibuzi vina shoboka na vipesa vyao lkn me ctak bae wangu ajue maana hatujamaliza hata waki af ndo ivo...
  7. beby ake mama

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    mawasiliano ili nikutafute tulizungumzie hili
  8. beby ake mama

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    na je unaweza kufanya kazi yako huko ulipo au mpak eneo la tukio au mpak mwenye tatizo akufate ulipo
  9. beby ake mama

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    ikitokea umempatia mtoto jina af mwenye jina alikua mganga na anahtj mtoto yule akabiziwe vitu lakn nyie kama familia hamjaligundua hilo na mnakuja kugundua baada ya mtoto kupatwa na masaibu yanayowafnya kwenda kwa mganga mganga anawambia hakuna mtu alomchezea mtoto wenu bali ni jina mkifanya...
  10. beby ake mama

    Ulishawahi mpenda mpenzi wa mtu? Ulifanyaje kuvunja uhusiano wao? Ushauri unahitajika

    kwann ucniweze wkt cfa ulizotaja za uyo mdada zinafanana na zang af ncipokupenda utapata bahat ya kudum na mimi [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
  11. beby ake mama

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    majin pia hutumia nguvu za giza?
  12. beby ake mama

    Ulishawahi mpenda mpenzi wa mtu? Ulifanyaje kuvunja uhusiano wao? Ushauri unahitajika

    kama mkwanja unasoma vizur njoo nkudanganye danganye pia tutadumu sana mwache huyo nnae mpenda sabbu ctafika nae mbali [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]
  13. beby ake mama

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
  14. beby ake mama

    Nikimpenda tu, hatudumu

    kwa hyo unananshaur niwe nafanyaje badala ya kuwaacha
Back
Top Bottom