Ishu ni kudaiwa, haijalishi ni shingapi. kuna mtu ana daiwa 10K lkn ndani hakulalikiii kabisa,
kwahiyo ndugu yangu jitahidi ulipe haraka iwezekanavyo maana hao ndugu watakufanya ushindwe hata kufikiria
Dawa ya deni ni kulipa😄😄😬BINAFSI NSHAACHANKUONEA HURUMA WATU.. MDA WANA SHIDA WANKUA WAPOLE ..
WAKIPATA MDA WAKURIDISHA UTAIMBA NYIMBO ZOTE SHUBAMIIT ZENU😄
Kamali iheshimiwe😧😞😬.
Pale.ambapo unakua unashida na hela ndioo kanji nae anashida na io hela yako, kwahio huo mchezo uacheni tu Kama ulivo..
Endelea kuona watu wakizidi kutajirika kwasababu ya kamali, usifate mkumboo.
Hao wazee wa stake high hawategemei hela ya mishahara sijui hela ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.