Recent content by Beberu

  1. Beberu

    JamiiForums Tanzania Ni kituko Tanzania nchi ya watu weusi kwa asilimia 90% kutambulika zaidi kupitia Wahindi na Waarabu.

    Hao 10% pia wana haki ya kutambulika, Kwani mashindano mangapi ya miss kimataifa wameenda wanawake weusu?
  2. Beberu

    JamiiForums Tanzania Subaru Forester & Mitsubishi Outlander nichukue ipi?

    Mkuuu, nipe updates, Uneionaje outlander?
  3. Beberu

    JamiiForums Tanzania Ipi sahihi sana kati ya Kumsomesha mtoto msingi english medium ya ada 3m per year vs kumsomesha kayumba na kumnunulia kiwanja cha 3m kila mwaka?

    Kuna reason matajiri wakubwa wote hapa Tz wamesoma shule nzito sio kayumba
  4. Beberu

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda UNBS seizes 79 tonnes of underweight cement in Kampala

    Wapuuzi hao, Badala wakakamate wazalishaji na inporters wao wanahangaika na retailer
  5. Beberu

    JamiiForums Tanzania KERO Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango

    Niny mbwa hata msipolipwa sawa tu kenge
  6. Beberu

    JamiiForums Tanzania Siamini kauli ya keki ni kubwa kwajili yetu wote kwenye biashara yenye ushindani, Biashara ni vita !!

    Mkuu hapo wanakuwa wanamaanisha kuna wateja wengi hamjawafikia, Nitakupa mfano wa mabank hii nchi, au mitandao ya simu, licha ya ushindani mkali ila utaona mapato na faida ya kila mmoja inazidi panda mwaka hadi mwaka, So hata kwenye biashara za kawaida, ushindani ndio upo, ila wote mtapata faida
  7. Beberu

    JamiiForums Tanzania Utamkumbuka Samia kwa lipi akitoka madarakani?

    Kumkumbuka Mpumbavu ni ujinga, Nitamove on na kusahau upumbavu wake wote japo maumivu anayoleta ni makubwa sanaaaa
  8. Beberu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Cyprian Hilinti: Tuitunze amani Tanzania, ukifatilia wanaochoma sheli shida inaanzia kwa wazazi wao

    Huyu askofu anaharibu sana, anaharibu image ya taasisi yake
  9. Beberu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Tusiendelee kushabikia matukio yaliyotokea Oktoba 29

    Wapuuzi sana hawa, Kwa hio tukae kimya kama hakuna kilichotokea ?
  10. Beberu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nini hiki Rais aliyepata kura million 31 anakosa live views haka 500 YouTube?

    😂😂😂😂 nipoteze mb zangu kirahisi hivo ?
Back
Top Bottom