Kikwete huwa hatoa mawazo yake hata punje kwa wasaidizi wake katika uandikaji wa speech zake. Yeye data zote anatafutiwa. Hatoa hata dokezo. Kuna baadhi ya viongozi wenye uwezo wa kuandika speech kwa vidole vyao wenyewe kama vile marehemu rais wa Malawi Mutharika!
Habari za wakati huu wanajamii Wenzangu. Mimi kama mmoja ya wadau wa elimu na masuala ya kijamii nina maono flani nataka kuyafikisha kwenu kwa
ushauri na upembuzi zaidi. Kwa nini serikali ama vyuo vya elimu ya juu visianjishe masomo ya elimu ya malezi ya watoto na vijana pamoja na ndoa kwa...
Alafu uhuni sio mpango kwa baba mtu mzima unapokuwa na vijana wakubwa ndani kwao. Ni bora hawa wazee wetu wakaanza kujiheshimu kabla hatujaanza kuwaponda na mawe!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.