Recent content by beauty in me

  1. beauty in me

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jaman hakuna anaetaka kuja Arusha town idara ya sec mi nije dar au pwani au Dom?
  2. beauty in me

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anataka kuja mbeya au Dar anatokea Arusha Meru idara sec shule ipo mjini
  3. beauty in me

    Mkopo wa riba nafuu

    Msimu huu wa sikukuu karibu ujipatie mkopo wa miezi mitatu ili uweze kufurahia sikukuu vizuri pamoja na ndugu na jamaa
  4. beauty in me

    Nauza flat screen, fridge na microwave.

    Microwave used zinauzwa hadi elf 70 wewe unauzia bei ya dukani
  5. beauty in me

    Naomba kujua bei za Mak Juice Sinza

    Hamieni zanana juice pale hamnaga ubaguzi hata kama umeenda na matambara na ni pazuri kuliko macjuice
  6. beauty in me

    Nyumba inauzwa(urgent)

    Tell them kuna watu wajuaji sana humu I hate that
  7. beauty in me

    Mkopo wa riba nafuu

    So why did you waste your time commenting if you are not interested? Why couldn't you save your energy for something else that you're interested in?
  8. beauty in me

    Mkopo wa riba nafuu

    Go to hell
  9. beauty in me

    Mkopo wa riba nafuu

    Mbona nina wateja wangu zaidi ya 20 humu. While you talk we make more money [emoji123] [emoji123] [emoji123] hata wewe naamini siku utakua mteja wangu maana vyuma hivi kila mtu anahitaji mkopo karibu sana kwa riba nafuu tu. Masharti mepesi
  10. beauty in me

    Mkopo wa riba nafuu

    I want to assume that you were not reffering to me maana kama ni matusi hata mimi nayajua but let me keep my mouth shut coz am dealing with business here [emoji57] [emoji57] toa stress zako hapa shwain
  11. beauty in me

    Tunawezaje kuigeuza hii hali ngumu ya uchumi kuwa fursa?

    Microfinance ni changamoto kwenye marejesho unaweza kujikuta umefilisika
  12. beauty in me

    Nahitaji mkopo wa 50000 nakupa uaminifu wangu

    Nitafute kwa Mikopo ya dharura nipo Arusha. Vigezo na masharti kuzingatiwa
  13. beauty in me

    Mkopo wa riba nafuu

    Kwa hiyo Keko hamna financial institutions zozote? Mbona Exim bank wana branch Keko? TRA nao mbona wana branch Keko? [emoji57]
  14. beauty in me

    Mkopo wa riba nafuu

    Nimekujibu pm
Back
Top Bottom