Na ungekuta inauzwa mil.30 wangeanza tens kulalamika wangeanza lalamika oooooh apo akuna huduma za kijamiii ...Mara kiwanj na nyumb ni ndogoo daaah yaani watanzania wenzang nimeshindwa kuwaelewaMkuu bora umeona hilo tuna watu wa ajabu sana nchi hii...hawajui mtu ana shida gani kwann kauza wao wanakuja na maneno ya ajabu kabisa halafu hata sio wanunuzi
Tell them kuna watu wajuaji sana humu I hate thatKama kipi Chief?watu wanauza wana mambo yao sio suala la kusema kuna kitu hakipo sawa kama sio mnunuzi you better shut up your big mouth
Chief nyumba hainunuliwi kama mboga sokoni unafanyika uchunguzi kwanza kujiridhisha baada ya hapo ndio mtu anaweza lipia suala la road reserves na mengineyo wachie wanunuzi wewe endelea kupiga ramli