Recent content by Beaty H

  1. Beaty H

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kumchapa mkeo makofi, mlichukua siku ngapi kurudi kwenye normal life?

    Baada ya kumpiga mwenzio makofi unatakiwa ujiulize je ww hukosei? Na ukikosea nani anatakiwa akupige ww??
  2. Beaty H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Niliingia mkataba wa bajaji kwa miaka miwili, baada ya miezi 20 nimepokonywa bajaji

    Karipoti ofisi ya PCCB karibu yako utasaidiwa kwa kiasi chake
  3. Beaty H

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Umeona una relate expérience ya bamdogo wako kwa wenzio[emoji23][emoji23][emoji23]
  4. Beaty H

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    EXACTLY SIS[emoji120]
  5. Beaty H

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Umenena vyema sis[emoji119] Na wanawake wakikataa kuwabebea mimba itakuaje?
  6. Beaty H

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Yeah this is so right! Kama hutaki kuoa its fine tutaolewa na wanaotaka... Using'ang'anize watu wote wakatae ndoa. Unaez kuta ni watu wenye trauma zao za udogoni wamezaliwa kwenye familia zilizo na mpasuko. Hawajawahi kuona what a good famy is.
  7. Beaty H

    JamiiForums Tanzania Je, unakubali ndoa au unakataa?

    Mm naona wanaume wengi wanakataa ndoa kigezo kikiwa ni fedha. Okay sawa msijali tutawaoa na kuwalisha kama vipi... Kubali ndoa ndo mpangoo wapo wanawake wanaojielewa na wanaoweza kufanya kazi na kuleta maendeleo.. Ww unaenda kuoa mtu aiseleweka unakuja kujilalamisha
  8. Beaty H

    JamiiForums Tanzania Officially divorced

    I wonder why unashangilia hivyo kitu ambacho ulipaswa ukae chini ujitathimini kama mwanaume. Na kwa huo mwelekeo ulionao inaonekana kwa part kubwa umechangia hiyo ndoa kuvunjika
  9. Beaty H

    JamiiForums Tanzania Hili limekuwa zito sana kwangu. Najisikia guilty sana

    Nakusihi uwe mkweli na umwambie huyo secretari. Kua unampenda mkeo Maana uhusiano wa nje ya ndoa mara nyingi huishia pabaya saana Sent from my iPhone using JamiiForums
Back
Top Bottom