Recent content by Be happy

  1. B

    Natafuta kijana wa operation mwenye uzoefu wa kazi za usafirishaji

    Tafadhali nitumie msg huku rickrilaltd@gmail.com
  2. B

    Kuoa single mother ni mtihani

    Hivi ni single mothers tu ndio wana maEx?? Wewe huyo Ex wako unayempenda hadi kesho kiasi kwamba akirudi huchomoi umemzalisha?? Tena nyie ndio hua mnapigiwa wake zenu hadi mnalea watoto wa watu mkijua ni wenu.
  3. B

    Natafuta kijana wa operation mwenye uzoefu wa kazi za usafirishaji

    Habari tena wadau. Natafuta kijana mkazi wa Dar es Salaam, kazi yake itakua ni kutafuta tenda ya kubeba mizigo kwenye makampuni na viwandani kwa kutumia malori. Elimu kuanzia certificate, mwenye uzoefu katika usafirishaji.
  4. B

    Anahitajika Dada wa Saloon

    Anahitajika mdada anaejua masuala ya saloon. Ajue kusuka mitindo yote hasa yeboyebo. Saloon ipo Tabata Segerea. Itapendeza zaidi akiwa anaishi Tabata. Malipo ni maelewano. Email ya mawasiliano ni.. lulandala7@gmail.com
  5. B

    Gari la abiria

    Wapi nitapata haisi ya kununua?? Hata km used ila ambayo haijachoka
  6. B

    Msaada wa mahali pa kufanyia field

    Barua ipo mkuu
  7. B

    Msaada wa mahali pa kufanyia field

    Kutoka chuo cha mzumbe mwaka wa pili, procurement and logistic management
  8. B

    Natafuta field

    We acha hizo bwn. if u dnt wnt to help thn keep quite coz being a university student doesnt mean that u have evry thng. so my young doest have a phone/laptop whch supports internet, and i have a phone with internet thts y um helping. acha fikra mgando.
  9. B

    Natafuta field

    Access na internet ndio tatizo.
  10. B

    Natafuta field

    Sielewi, bt anasoma Procurement pale. Msaada plz
  11. B

    Natafuta field

    Mdogo wangu yupo mwaka wa pili Chuo cha Mzumbe, Kozi ya "Procurement and Logistic Supply'. Naombeni msaada wenu. Field zinaanza mwezi wa saba. lakini barua za kuombea zimetoka. Asanten
  12. B

    BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

    tunaomba hilo link jaman. duuuu !!!!!!!
  13. B

    Binti Achinjwa Kama Kuku huko Kahama_Kisa Mapenzi

    Sion kosa la huyu mtoto. Kupenda si dhambi. Watoto wanawah kukua na hisia zinawahi vilevile. Ila ukisikia mtu amekusaliti ndio unaua!!!! Ili nini??? Wanaume badilikeni. km hela zinakuuma usitoe, mtu maisha magumu afu bado anahonga!! Achen wenye hela zao wahonge. Apo huenda hela alizohonga jumla...
Back
Top Bottom