Recent content by bbyfay

  1. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Friji inauzwa

    ina 0.3unit/24hrs....find attached. pia kuna factors nyingi zinazopelekea frige kutumia umeme/power kubwa sio tuu kwa sababu imeandikwa kua inatumia umeme kidogo ndo biashara imeisha....no, iyo ni average when all other conditions are constant; •location/mahali unapoiweka, sehemu yenye joto sana...
  2. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Friji inauzwa

    o ongeza boss wangu upate kitu kizuri chenye guarantee
  3. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Friji inauzwa

    mmh leta 300,000/ boss
  4. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Friji inauzwa

    haijatumika ni mpya...afu hiyo bei sio ya almost mpya ni bei ya used
  5. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Friji inauzwa

    refridgerator
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ni aina gani ya friji ya mtumba ni imara na nzuri

    in ina ujazo gani au ukubwa gani frige yako?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mbao za Mkongo vs Mninga

    sawa...ahsante sana
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mbao za Mkongo vs Mninga

    okay okay....ahsante sana
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mbao za Mkongo vs Mninga

    Habari wanajamiiforum, Napenda kuuliza kati ya mbao za Mkongo na Mninga, zipi ni nzuri zaidi au bora zaidi kwa kutengenezea furnitures kama vile kitanda na kabati? Ahsanteni
  10. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua soko limeakaaje kati ya MSc Human Nutrition vs Epidemiology

    sasaivi unajishughulisha na nn?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua soko limeakaaje kati ya MSc Human Nutrition vs Epidemiology

    Habarini wapendwa, Nakata kusoma Masters ya Human Nutrition au Epidemiology, napenda kujua kuhusu soko lake na demand yake imekaaje
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

    Mi pia hali hii ilinikuta...nimetumia dawa ya nimr nilinunua kwa mfanyakazi wa nimr nao niko poa
  13. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepata mkopo HESLB 7.8%

    Pole mpendwa,lakn mi nahisi wamekosea badala ya 800000 wameandka 80000, nenda heslb km upo ada kaeleze your situation ili ukate rufaa, wanaweza kukuongezea, try it if you can dia
Back
Top Bottom