Recent content by bbenedict

  1. B

    Ni hatari kuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye ni mkatili

    True...Nilishapataga Wa Dizain Hii..Kupenda Kubaya Ila Nilipoona Sipendeki Naishia Kuumizwa Kimwili Na Kisaikolojia Kila Kukicha Nilijiondokea Mdogo Mdogo Na Kimya Kimya.Moyo Ulijiendea Kupoa Mbele Ya Safari.
  2. B

    God vs satan

    I belong to HIM and only HIM.amen
  3. B

    Natafuta kijana wa kusimamia biashara

    steveson manumbu.Well Said Brother.
  4. B

    Utumishi wameita kazini, Nimekosa tena

    Mambo Mengine Hayawezi Pasipo Kumtafuta Mungu Na Kwa Kufunga Na Kuomba.Karibu Tarehe 1/11 Ndo Tunaanza Rasmi Maombi Hayo.
  5. B

    Park Hyatt Zanzibar

    Zanzibar Spices,Nikweli kuna dude linashushwa maeneo ya Shangani mitaa usawa wa ufukwe wa Zanzibar Serena Inn na Tembo House Hotel. Hii ndio Top Class in Zanzibar Stonetown,halafu Serena ndio atafuatia. Na kama sikosei ndio Hotel ya kwanza pekeeyenye vyumba vingi Stonetown na ya pili kwa Wilaya...
  6. B

    Park Hyatt Zanzibar

    Habari Zenu Wakuu,nimesikia Zanzibar Mwanzoni Mwa Mwaka 2015 Kunakaribia Kufunguliwa Hoteli Mpya Ya Park Hyatt. Tafathali Waliosikia,mkuu(Zanzibar Spices)nijuzeni Kulikoni Mpango Mzima Wa Kutuma Maombi Ama Jambo Lolote Lile Linalohusu Ajira Kwenye Hoteli Hiyo. Thanks Wakuu!!!!
  7. B

    Madereva wa kike - Nafasi

    Zanzibar Spices;Wakuu kuna sehem ningependa ku share. a)Dereva wa Kike,awe anajua kuonge Kiingereza Majukum ni kubeba watalii,ndani ya jiji la Dar,mfano,kutoa Hotel,kwenda Bandarini,au kwenda Airport kwa mfumo kama huo. b)Reservation Officer/Desk attendant Hapa Kiingereza,atakuwa trained...
  8. B

    Natafuta mtu wa kufanya kazi za shambani

    Mimi Ndugu Ukiniruhu Kuja Na Mtoto Wangu Wa Miaka Mitatu,nakuja Kukupigia Kazi Safi Maana Ajira Imekua Shida Kiasi Cha Kwamba Watoto Siku Nyingine Wanalala Njaa.Nipo Serious,npo Arusha Arumeru.
  9. B

    Natafuta mtu wa kufanya kazi za shambani

    Mimi Ndugu Ukiniruhu Kuja Na Mtoto Wangu Wa Miaka Mitatu,nakuja Kukupigia Kazi Safi Maana Ajira Imekua Shida Kiasi Cha Kwamba Watoto Siku Nyingine Wanalala Njaa.Nipo Serious
  10. B

    Natafuta Kazi Za Hoteli Za Kitalii Arusha

    #TUTEER-kuhusu Mshahara Kama Kazi Ipo Hatutashindwana Kwenye Maongezi,mishahara Ya Hotel Za Nafasi Za Kawaida Mbali Na Za Management Si Mikubwa Kivile Mara Nyingi Tunategemea Tip Kwahiyo Tukishika Kichwa Cha Kizungu Tunahakikisha Anapata "a Time To Remember" Ili Atutoe Vizuri.
  11. B

    Natafuta Kazi Za Hoteli Za Kitalii Arusha

    Ndugu Zanzibar Spices Kusoma Sikatai,shida Hizo Tuition Fees Za Mweka,mimi Ni Single Mother Of Two Na Kujikita Kwenye Elimu Wakati Watoto Wanahitaji Kushiba Ni Ngumu Kwa Sasa Secondly Sijawahi Iba Kwa Kampuni Yeyote Ile Na Kwa Serena Kusema Ukweli Nilidanganywa Na Kidume Enz Za...
  12. B

    Natafuta Kazi Za Hoteli Za Kitalii Arusha

    Mkuu Mimi Sichagui Pa Kufanyia Kazi Ilimradi Tu Huko Zanzibar Wawe Na Staff Quarters Maana Mwenzenu Huko Sina Ndugu.
  13. B

    Natafuta Kazi Za Hoteli Za Kitalii Arusha

    Ahsante Mkuu Kwa Majibu Yako Ya Hekima Na Busara,mimi Elimu Yangu Ni Form Six With Diploma In Travel And Tour Operations With A Certificate In Airline And Ticketing,ozoefu Wa Kazi- Nimefanya Na Serena Hotels Na Hotel Nyingi Ndogondogo Hapa Arusha Pia Na Tour Companies In Reservations And...
  14. B

    Natafuta Kazi Za Hoteli Za Kitalii Arusha

    Heshima Zenu Wakuu,nisaidieni Jamani Mwenzen Natafuta Kazi Kama Receptionist,housekeeping Ama Nafasi Nyingine Yeyote Za Hoteli,english,french Na Italian Inapanda Vizuri Sana.Contacts 0655042717,ahsanteni
  15. B

    Nahitaji kazi ya h/boy au kukaanga chips Arusha au Moshi

    habar znu wanajanvi,kijanaangu ameniomba nimsaidie kumuwekea hili tangazo janvini.yeyote mwenye uhitaji wa mkaanga chips,hseboy anipm,mm ndiye mthamini wake.serious seekers only pliz.ahsanteni
Back
Top Bottom