Recent content by BBBKAPUSI

  1. BBBKAPUSI

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu matrekta ya Massey Ferguson

    Bei gani unauza?
  2. BBBKAPUSI

    JamiiForums Tanzania China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Mimi ni mfanyabiashara ya kahawa kutoka vijijini,naomba kupata masoko china aina ya kahawa yangu ni Arabica,ninataka Direct export, hii kahawa ni ya Ruvuma na Mbeya;
  3. BBBKAPUSI

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kukabiliana na hali ngumu ya familia

    Mkutane wote wanafamilia mweke mipango kwa pamoja,kuuza uwanja siyo utatuzi wa tatizo,huyu alie maliza chuo tayari yuko kwenye matazamio flani pia hao wengine wanaweza kutafuta vibarua vya kupata kipato cha kila siku,biashara kuna kupata na kukosa itategemeana na mipangilio yenu ya mwanzoni...
  4. BBBKAPUSI

    JamiiForums Tanzania Nauza Mayai ya Kware

    Sawa nimekuelewa.
  5. BBBKAPUSI

    JamiiForums Tanzania Nauza Mayai ya Kware

    Mimi niko Mbeya nitayapataje?
  6. BBBKAPUSI

    JamiiForums Tanzania Nauza Suzuki Escudo mil 6.5

    Ni TDO1W?
  7. BBBKAPUSI

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kware yanapatikana kwa wingi sasa

    Niko Mbeya.
  8. BBBKAPUSI

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Mbeya mjini nije Halmashauri ya mji Kibaha.
  9. BBBKAPUSI

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kware yanapatikana kwa wingi sasa

    Kwa ambae niko Mbali na Dar nitayapataje?
Back
Top Bottom