Dar express Arusha-Dar ndio bora kwangu bt Kilimanjaro Big NO,wahudumu wamejaa viburi wanajiona malaika wale wadada khaaaa madereva ndo usiseme niliwahi shikwa na haja ndogo nikamuomba dereva msaada kuchimba dawaa weee alinigomea kbs,akaniambia eti niubane nisiwe km mtoto nikamwambia wee baba...
Yn mi ckapendi kujidaigi mzur wkt sura imekomaa km yangu,ndio ameweza kumaintain umbo na tumbo baada ya uzaz,bt sio sasa ndo anajiona mzuriii wkt sura mbovu
Mdau randy amerudishwa tyt,na wakatag team na seth against roman na mzee wa yes yes yes,waliibuka kidedea kina roman reigns ofcoz,nampenda sn roman reigns
Namzimikia mwanadada stefan macmahon ni mbabe kinoma,ahh vince macmahon ananikosha tu anavyorushaga miguu yake anapoingia ulingon hahaaaaa hao ndio the ausoritee
Mdau umeongea point,mi nimeapa mwez huu unaokuja lazima lazima niweke solar,manake hii ni kero,hivi mdau mi nataka solar ya taa km10 na tv tu je itanigharimu kias gani kuweka solar??
Jaman yaani serikali ya tz cjui kwanini hainaga muda na shida za wananchi,January Makamba kijana mwenzetu kwel hili limekushinda??kwa kipato gani tulichonacho kila saa ununue bundle ya internet khaaaa
Uwiii chezea wabongo wewe,hawakomi ng'ooooo,anyamaze tu tho inauma sn,awe km wema sepetu yeye kila cku anasemwa mgumba lkn wala hana time,binadamu hawakos la kusema Mungu ndie anaetupa wtt na kwa wakati anaotaka yeye.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.