Recent content by Bb YangeYange

  1. B

    Mkutano wa Rais Magufuli Kahama: James Lembeli aungana naye. Je, kurejea CCM?

    Rais/Mwenyekiti Magufuli kweli anatosha sana! Hata Sumaye aliyesema kwamba Ukitaka mambo yakunyookee njoo CCM", hakukosea. Ingawa yeye katoka, kauli aliyotoa ina maana pana... Huenda iko siku naye atarudi kundini! CCM Oyeee! Tunaanza kuiona CCM ya Nyerere na Karume inarudi! Asante sana John...
  2. B

    Ukichokwa hata kabla hujatimiza mwaka wa uongozi jitafakari

    Mnaomchoka ni nyie mliochoka msiotaka kufanya kazi kwa bidii ili mjiletee maendeleo. Hao bodaboda wengi wao wamejiingiza kwenye kazi hiyo inayowamaliza wao ama viungo vyao wakiogogopa kwenda kulima. Ingependeza sana kama wangejiunga kwenye vikundi vya kilimo waombe Rais awasaidie wangeweza...
  3. B

    Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!

    Pasco bana! UKUTA na wengine wote wanaomlalamikia Rais Magufuli wajaribu kukumbuka hali ya nchi ilivyokuwa. Kwa kweli inahitaji kuwa na kiongozi kama Magufuli kuweza kuirejesha nchi katika mstari. Magufuli ni msomi anayejua fika umuhimu wa Katiba. Je tunategemea aendelee kufuata mtindo wa...
  4. B

    Je ni halali kwa kurugenzi ya ikulu kutoa taarifa kama hii kwa taifa???

    Kwani kuna tatizo gani? Kavunja sheria gani? Mnataka kumtafutia Rais hata maneno ya kuongea na namna ya kuongea? Kila kiongozi ana style yake. Hii ndio style ya Rais wa awamu ya tano. Inabidi tuikubali na kuizoea. Wananchi wanachotaka ni maendeleo na si kingine. Style ya Rais wa awamu ya kwanza...
  5. B

    MwanaKJJ Ijumaa: Kutoka UKAWA kuelekea UKUTIUKUTI?

    Mwanakijiji kama kawaida yako umenena! Hivi hawa UKUTA ndio waliokuwa wanatwambia wanatetea Mtanzania anayekula mlo mmoja kama kiboko!? 'Demokrasia' tangu lini ikaliwa, mwenye njaa akashiba! Demokrasia ya kweli inahusiana sana na matakwa na mahitaji ya wengi. Tuwaombe hawa ndugu zetu wakumbuke...
  6. B

    Rais Magufuli, bila kuwajali Watumishi wa Umma utakutana na Magumu zaidi ya Kikwete

    Ni lini Rais Magufuli alisema anawanyima mishahara watumishi wa umma? Wanaoshughulikiwa ni wezi, wavivu, na wazembe. Iweje wanaofanya kazi kwa uadilifu wanung'unike? Hivi wooote mnaolalamikia hatua zinazochukuliwa mmewahi kukumbwa na uzembe wa watumishi wa umma waliojisahau kwamba wao ni...
  7. B

    Rais Magufuli, bila kuwajali Watumishi wa Umma utakutana na Magumu zaidi ya Kikwete

    Mawazo ya kitoto haya! Mzazi wako wakati huo alikuwa muadilifu sana kazini kwake ndio maana aliweza kuwanunulia nyama nk. Ninaamini alinunua akiwa na moyo mweupeee kabisa.
  8. B

    Mapendekezo ya namna bora ya kuhamia Dodoma

    G Watanzania lini tutasahau ukabila? Mchagga akinufaika kuna ubaya gani? Mbona husemi waarabu na wahindi ambao baadhi yao wana 'makazi' mawili ndani na nje ya nchi. Juzi jmosi siku ya kufanya usafi nilikutana na mfanya biashara wa kihindi ana kamgahawa city center. Tunafahamiana...
  9. B

    Zitto utapotea, achana na Rais Magufuli!!

    Tatizo la Zitto siku zote ni kutafuta sifa bila kujali maslahi mapana ya wananchi. Mwenzie Magufuli hatafuti sifa bali amejikita kwenye mambo ambayo anaona yana manufaa kwa wananchi anaowaongoza. Hajali kama atasifiwa au la. Ifike mahali wanasiasa waangalie mahitaji ya wananchi maana mwisho wa...
  10. B

    Safari ya nchi kuhamia Dodoma yaanza rasmi

    Du! Hili si wazo! Ni jambo ambalo limechukua miaka 40 halijatekelezwa unataka lisubiri mpaka lini? Pia kipaumbele cha Watanzania ni maendeleo, utandawazi gani unaweza kuleta maendeleo ya mamilioni ya wananchi ambao wala hawajui utandawazi ni nini!
  11. B

    Kiama cha wala rushwa CCM chawadia

    Wanapenda kutmia pesa kwenye chaguzi wakae chonjo saa mbaya. Vitendo vya rushwa vilikuwa vimezoeleka kiasi kwamba wananchi maskini walikuwa wakifurahia vijisenti walivyokuwa wakipewa na wagombea. Kwa mfano ndugu zangu wa jimbo fulani mkoa wa Morogoro wananchi walikuwa wanaridhika kupewa buku...
  12. B

    This article about Dodoma becoming a capital city will rock you!

    KUPANGA NI KUCHAGUA! Hili limekuwa ndani ya mipango tangu enzi za Baba wa Taifa. It is high time likatekelezwa. Tanzania tulianza mpango huu wa kuhamisha makao makuu. Wakati huo huo Nigeria nao waliona umuhimu wa kufanya Lagos ubaki kuwa mji wa biashara na Abuja pawe mji wa shughuli za...
  13. B

    Ya Ombeni Sefue kumkuta Kinana?!

    Pamoja na kazi nzuri ya Nape chamani, hili la yeye ama wengine waliokwisha teuliwa na kupewa kazi nzito za kitaifa kama uwaziri sidhani kwamba wanatakiwa kuwemo kwenye secretariat. Katika hotuba yake nilimsikia Mwenyekiti mpya akizungumzia hilo la mtu mmoja kuwa na vyeo vingi bila sababu wakati...
  14. B

    Ya Ombeni Sefue kumkuta Kinana?!

    Kumbe hamjajua siasa inavyokwenda. Hivi mlitaka Mwenyekiti mpya ajitose tu kuikubali barua ile haraka haraka? Kinana kakisaidia sana CCM katika kipindi anbacho bila juhudi zake CCM ingekuwa ktk hali mbaya. Shukurani alizopewa anastahili kabisa. Pili, Mlitegemea secretariat ijiuzulu jukwaani na...
Back
Top Bottom