Ya Ombeni Sefue kumkuta Kinana?!

Ya Ombeni Sefue kumkuta Kinana?!

Nape yupo saana tu.Kazi aliyoifanya wakati ule wa kampeni ilikuwa kubwa sana.
 
Kumbe hamjajua siasa inavyokwenda. Hivi mlitaka Mwenyekiti mpya ajitose tu kuikubali barua ile haraka haraka? Kinana kakisaidia sana CCM katika kipindi anbacho bila juhudi zake CCM ingekuwa ktk hali mbaya. Shukurani alizopewa anastahili kabisa.

Pili, Mlitegemea secretariat ijiuzulu jukwaani na baada yachapo iweje? Mwenyekiti atangaze mpya hapo kwa hapo? Sio mjuzi sana wa kanuni na taratibu za CCM, je hilo liko kwenye taratibu za chama?

Tatu, kama haikuwa imepangwa na wakakubaliana barua ile iletwe jukwwani basi Magufuli alikuwa anategwa tu kupewa barua ile jukwaani.

Nne, Mzee Kinana pamoja na kazi nzuri aliyofanya ana haki kabisa kuomba kupumzuka kutokana na umri wake. Mwenyekiti Magufuli naye anayo haki na wajibu wa kuunda Secretariat yake itakayoendana na mipango aliyonayo kwa ustawi wa CCM.

Tunaisubiri kwa hamu CCM irudi kwenye misingi ya 1977!
 
Nape yupo saana tu.Kazi aliyoifanya wakati ule wa kampeni ilikuwa kubwa sana.
 
Nape yupo saana tu.Kazi aliyoifanya wakati ule wa kampeni ilikuwa kubwa sana.
 
Uwezekano wa kumuondoa Kinana kwenye nafasi yake soon ni mkubwa. Huwezi ondoa safu ya uongozi yote at the same time. But Kinana should know. He has NO future in CCM under Magufuli. Mark my words.
 
Nape yupo saana tu.Kazi aliyoifanya wakati ule wa kampeni ilikuwa kubwa sana.
Pamoja na kazi nzuri ya Nape chamani, hili la yeye ama wengine waliokwisha teuliwa na kupewa kazi nzito za kitaifa kama uwaziri sidhani kwamba wanatakiwa kuwemo kwenye secretariat. Katika hotuba yake nilimsikia Mwenyekiti mpya akizungumzia hilo la mtu mmoja kuwa na vyeo vingi bila sababu wakati wapo wengine wenye uwezo wa kushika nafasi husika.
 
Uwezekano wa kumuondoa Kinana kwenye nafasi yake soon ni mkubwa. Huwezi ondoa safu ya uongozi yote at the same time. But Kinana should know. He has NO future in CCM under Magufuli. Mark my words.

Kwa maoni na mtizamo wangu ni muhimu Kinana na baadhi ya watu wakaondoka wakati muafaka ukifika.Na kwa ile RoadMap aliyoibainisha pale ni dhahiri Kinana na baadhi ya watu hawawezi ku-adapt hizo changes anazozitaka Magufuli.
Kuendelea kubakia Kinana ni kuruhusu mtandao wa Kina January na watu wengine wenye nia ya kugombea urais 2025 kujijenga. Nionavyo mimi JK pamoja na kustaafu siasa bado atataka kuendelea kuwa na close touch ya siasa za Tanzania.Lazima a-groom mtu mwingine kwenye circle zake ili aje murithi wa Magu. Sasa ili kukomesha mitandao ya kutuletea viongozi wa hovyo ni muhimu huyo SG akaondolewa ili aje mtu ambaye ana rajua ya kutuletea watu makini na sio magenge ya maraisi wafanya biashara.
 
Kwa silka na hulka ya utendaji wa Mwenyekiti mpya wa CCM, Dkt Magufuli, na hasa kwa kutowakubali, (yawezekana kwa kutowaamini), wateule na watendaji wakuu wa Mtangulizi wake, sioni dalili za Uteuzi wa Ndg Kinana kuwa Katibu Mkuu Mpya wa CCM, kudumu kwa muda hata wa siku 100.

Licha ya sifa kemkem alizopewa Dodoma, kuna uwezekano mkubwa yale yaliyomkuta aliyekuwa katibu mkuu kiongozi Ndg Sefuwe, yakamkuta Kinana, tukaishia kuambiwa, "ATAPANGIWA KAZI NYINGINE"

Muda haudaganyi Tusubiri.

Maghufuli amemwacha kinana ili apate mda wa kutosha kuwapata anaowahtaji...na kinana anajua hilo, kwani kuna uwezekano mkubwa walishaongea
 
Back
Top Bottom