Recent content by bayonamperembi

  1. bayonamperembi

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

    Kosa lake ni kuonekana hadharani tu bas. Mosad ni wawindaji 24/7
  2. bayonamperembi

    JamiiForums Tanzania Kocha Ernest Middendorp: Nimeondoka Singida Fountain Gate kwa kuwa viongozi waliingilia majukumu yangu kwa kiwango kikubwa

    Kumbe bwana. Kodi zetu ndo zinaishia huku. Waziri wa fedha ndo boss wa hii timu. Amejificha weee lakini kafichuliwa
  3. bayonamperembi

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yampora muwekezaji ardhi ili kumpa mtu wa Dubai. Muwekezaji adai fidia ya Tsh Trilioni 2.45

    Aisee, Tanganyika hatuhusiki hapa
  4. bayonamperembi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atengua Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya za Temeke na Kilindi

    Watawala watujibu haya bila kuruka kipengele hata kimoja hapo
  5. bayonamperembi

    JamiiForums Tanzania FT: Kombe la Shirikisho: Rivers United 0-2 Young Africans. 23, 04, 2023

    Tushamkanda mNigeria kwao. Hapa kwa Mkapa tunakuja kumkamua kama tambara
  6. bayonamperembi

    JamiiForums Tanzania Kwanini tukienda hospitali zile fomu za NHIF hawafungi hesabu pale chini?

    Ni kweli kabisa, tena si NHIF hata bima zingine pia. Huwa hawafungi mahesabu. Nilimuuliza nesi mmoja mtaani kwa nini inakuaga hivyo alinijibu hivi "...... huko ndiko tunakoponeaga". Hivyo bas, utakuta gharama zako halisi za matibabu ni 30,000 ila hiyo fomu itachezewa iandikwe hata 130,000. Kuna...
  7. bayonamperembi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

    Naona lilikua limemkaa kwa mda mrefu, leo kaamua kupasuka☺️☺️
  8. bayonamperembi

    JamiiForums Tanzania Mbowe aachiwa huru na wenzake watatu baada ya DPP kuwasilisha hati ya kutotaka kuendelea na kesi

    Tunamshukuru Mwenyenzi Mungu kwa kuyajibu maombi yetu. #Mbowe si gaidi. Karibu uraiani kaka. Mapambano yaendelee. We missed you.
  9. bayonamperembi

    JamiiForums Tanzania Polisi Dar yampa saa 24 Nabii Mwingira ili ajisalimishe kwa Mahojiano

    Kwamba Mwingira kafanya uhalifu kusema alitishiwa maisha?? Si anatakiwa aisaidie polisi wahalifu hao wakamatwe? Naona mamlaka kuna kitu wanataka kukificha hapa kwa kutumia "vibaya" dola. Hili jambo na mengine yanayohusu haki na maisha ya watu sirkali haitaki ihusishwe nayo.
  10. bayonamperembi

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani aagiza Polisi Kanda Maalum ya Dar kumsaka na kumhoji Askofu Mwingira

    Kuna mambo mengi mazito watu wamepitia na wanaendelea kupitia. Nchi isiendelee kutisha waliochoka kukaa kimya, ni wajibu wao kuchunguza na ukweli ujulikane kwa watu wote. Waliohusika wote sheria ichukue mkondo wake
  11. bayonamperembi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu Desmond Tutu afariki kuamkia leo akiwa na umri wa miaka 90

    Pumzika kwa amani askofu. Matendo yako mema yatakuwakilisha kwenye kizazi hiki na kijacho
  12. bayonamperembi

    JamiiForums Tanzania Watu 29 wameshakufa kwa wimbi la 3 la Coronavirus. Wagonjwa wafikia 858 Tanzania nzima

    Niko kwenye usafiri wa umma mida hii. Tuliovaa barakoa ni 8 kati ya abiria 30
  13. bayonamperembi

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimepata chanjo ya AstraZeneca, Serikali iharakishe kuchukua hatua za kuikabili COVID19

    Moja ya waTz wakwanza kujitokeza kuipata hiyo chanjo kwa hiyari wakati ikiidhinishwa nchini niko hapa. Silishwi propaganda za kijinga za siasa mimi. Afya yangu ni ya thamani sana. Sikubali siasa za kijinga ziitawale akili yangu hata siku moja.
  14. bayonamperembi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Kifo ni fumbo. Mungu pekee ndiye mteguaji wa hili fumbo. Lowasa 2015 walisema hauwezi urais maana ni mgonjwa àtaenda fia ikulu. Je binadamu alifanikiwa hapa? Lowasa yungalipo. Lissu je! Risasi zote zile na bado anadunda. Lakini kejeli alizopokea utadhani si binadam. Naskia baada ya kupigwa...
Back
Top Bottom