DEO MECK Mbaga nakiri kuwa andiko lako lina hoja kadhaa za msingi ingawa hakuna ulipokubali changamoto zilizopo mahali husika na kutoa mapedekezo yako kuhusu namna ya kuzitatua. Wakati namkosoa Edo kwa kujumuisha wakazi wote (false generalisation), wewe umetumia rangi nyingi kupaka eneo lote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.