Recent content by Bayege M

  1. Bayege M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

    Hii kesi tuliwaambia waifute,wakasema tunakomaa nayo,Sasa kinachoenda kutokea Kama Ni haki inafuatwa mwenyekiti ataachiwa huru,lakini Kama jaji anafanyakazi kwa maelekezo lazima matokeo yatakuwa yaleyale ya jaji aliejitoa
  2. Bayege M

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awaambia Mawaziri kuwa CCM itakwenda na mtu mmoja pekee ambaye ni Samia Suluhu Hassan

    Mbona ccm mnahaha kumpigia debe wakati vyama vingine vinafanya majukumu ya kichama,wao ccm wanafanya kampeni ya urais tukutane 2025.
  3. Bayege M

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Majengo kupitia luku rasmi Vijijini

    Ndio maana ninasema wameharakisha ukatwaji wa Kodi,kwani bado vijiji vingi havijapimwa na umeme ameshavuta,hivo Cha msingi tu nikuvipima vijiji vyote ili viingizwe kwenye ramani na hatimae watu walipe Kodi ya jengo kwa utaratibu usioleta Shaka kwa mpokeaji wa mwisho vinginevyo tutakuwa...
  4. Bayege M

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Majengo kupitia luku rasmi Vijijini

    Hatuoni shida Kama wananchi wangekuwa wameshawaingiza kwenye utaratibu wa ujazaji wa fomu za nyumba na kuwa vigezo ama Haina vigezo.sasa hapa tunaibiwa kwakutokuwa na mpangilo wa makazi husika.
  5. Bayege M

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Majengo kupitia luku rasmi Vijijini

    Yote haya yamesababishwa na viongozi wasiokuwa nahuruma kwa watu waishio vijijini ambapo mtu anapata pesa kwa maramoja kwa msimu,na matharani wangekuwa wameandaa utaratibu wa ulipaji Kodi za majengo kusingekuwa na sintofahamu kwa mteja.nasema kwa sababu mie tayali wameshakata alfu mbili.
  6. Bayege M

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Majengo kupitia luku rasmi Vijijini

    Mie napendekeza kila mmiliki wa nyumba ajulikane ili anaponunua luku asiendelee kukatwa na hii ionyeshe kuwa kwa mwaka amemaliza deni.kuepuka ukatwaji wa luku kila unaponunua umeme,maana wapigaji wa hela nao walishajiandaa kuiba hiyo hela tafadhali mtuondolee usumbufu wa kukatwa kila unapofanya...
  7. Bayege M

    JamiiForums Tanzania Moses Lijenje aliyetajwa kutupwa na Polisi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni nani?

    Inamaana katika jeshi la polisi Kuna kitengo Cha Utesaji na mauaji,Basi kwa vile bado kesi iko mahakamani tunaiomba mahakama ufuate muongozo namna ya kuhukumu kesi hii na ushahidi uchujwe vizuri na haki itendeke.
  8. Bayege M

    JamiiForums Tanzania Ziwa Nyasa limeporwa kikamilifu?

    Mmeanza kuteteana,hao Ni wahalifu wamekiuka Sheria za nchi na adhabu ndo hiyohiyo Tena wangeshitakiwa kwa kutumia gari ya serikali ambayo sisi watz tunakatwa Kodi,harafu mtu mmoja adai warudishwe kazini kimyakimya nadhani ulikuwa na mgao Kama wangempata waliyokuwa wanamfuatilua,tuache kuteteana...
  9. Bayege M

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: January Makamba kahakikishe petrol haipandi bei ovyo na mikataba ya ovyo ovyo kwenye nishati hatuitaki!

    Spika na makamba ndo walewale watakaopitisha mikataba feki,baadaye mnaanza kulaumiana hii inatokana na bunge la chama kijani hakuna mbadala humo,chochote kitakachojadiliwa Ni ndio.
  10. Bayege M

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: January Makamba kahakikishe petrol haipandi bei ovyo na mikataba ya ovyo ovyo kwenye nishati hatuitaki!

    Huyo naye Ni njaa tu,lakini hatuwezi sema sana kwani raisi anashauriwa na watu waliokaribu naye kwa kumudanganya,mf.Nchemba kuwa fedha Ni uozo tu na matokeo hayo mnayaona ya kutozwa Kodi kwenye simu na luku,Ni kukurupuka tu bila kuwa na dira ya miaka mitano mbele.
  11. Bayege M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Sababu za Dkt. Kalemani kutumbuliwa Uwaziri, genge lamponza

    Wanaonekana Ni wasomi,lakini kumbe hata wa "0"lever Ni wasomi waziri na utendaji wao Ni Makini kuzidi hata profesa/Dokt.ili awe na watendaji waziri aangalie huku chini Ni uzoefu tu hakuna Cha kishindikana.
  12. Bayege M

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lina mkono wake katika vurugu za CHADEMA za kuipinga Serikali? UVCCM, turuhusuni vijana wenu tuingie Kanisani na bendera, nguo za CCM

    Nakushauri nyie wa uvccm,mlichokipanga usidhani hatuna uwezo tunasema njooni na mtakipata mnachotafuta na aliyewahamasisha mwambieni kanisa katoriki liko tayali.
  13. Bayege M

    JamiiForums Tanzania Napata shaka, kuna kikundi ndani ya CCM kinaratibu kumkwamisha Rais Samia 2025

    Wenyewe wakwamishane na tutaelewana.
  14. Bayege M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

    Jidanganyeni kwa kupoteza muda wa kufikiria kuwa viongozi wa upinzani kuwa wanahusika na mauaji ya magufuli na mwisho wa siku kitaeleweka na wahusika wakajulikana.
  15. Bayege M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atuhumiwa kwa Ugaidi na kupanga njama za Kuua Viongozi wa Serikali

    Haki itapatikana tu,hata mfungulie na kosa mauaji kwani mbinu zenu zote na hila kwa chamapinzani zilishavuma siku nyingi.mpelekeni mahakamani kwenye Sheria ambako atapata haki.
Back
Top Bottom