Spika Ndugai: January Makamba kahakikishe petrol haipandi bei ovyo na mikataba ya ovyo ovyo kwenye nishati hatuitaki!

Leo viongozi wote Wakuu wameongea vizuri sana. Hoja zao zote zilijikita katika jinsi bora ya kuwatumikia wananchi, uongozi ni utumishi kwa walio kuamini ukawa kwenye hiyo nafasi.

Mh Rais SSH kaliongelea kwa umakini wa hali ya juu sana suala la wamachinga kiasi ambacho unaona utu ulio ndani yake lakini heshima kwa wenye hali ya chini kimaisha , hamna chembe ya kiburi cha uzima kwenye kuwaongelea wamachinga.

Watekelezaji wasimuangushe Mh Rais kesha toa maelekezo ya wazi kwa mwenye akili na ayasikie na akayafanyie kazi. Muende kwenye drawing board mchore plan ya kushughulika na wamachinga. Yenye kuwajali na kuheshimu utu na biashara zao. Hiyo plan muanze kuwashirikisha viongozi wa wamachinga waongeze mawazo yao mkisha fikia muafaka muwaachie wakaiuze kwa wamachinga wenzao nyie mkiwasaidia kutatua na kujibu changamoto zitakazo jitokeza tuone kama kutakuwa na miji au majiji yasiyo pangika.

Serikali muweke utataratibu mzuri wa kukusanya fedha ya vitambulisho vya wamachinga kwa sababu ni implemention ya Mkarubita nafikiri.
Mkuu wa Mkoa mwenye akili ishu ya Machinga itamtoa
 
Spika Ndugai amesema January Makamba ana uzoefu wa kutosha katika sekta ya nishati hivyo anategemea atahakikisha petrol haipandi pandi bei ovyo.

Pia, mikataba mingi ilisharekebishwa hivyo anamtaka January asije kuturudisha kwenye ile mikataba ya hovyi hovyo.

Source: TBC


Huyu anaonekana kupingana na mamuuzi ya muhimili mwingine. Anazo hasira za bure. Pengine ndiko huko kuifamu biblia na mitaa ya Galilaya. Lile lingine kutaja itakuwa dhihaka kwa Mwana wa Mungu nabii Isa bin Mariam. Ni vizuri kuwapa watu nafasi kuitumikia seeikali.
 
Nadhani wenyewe wakitaka anatoka tu. Nilisikia kuwa Miseekwa aliota mizizi kwenye kile kiti, akaundiwa zengwe, zamu ya wamama, mara PM na spiiika wote kutoka mkoa mmoja sio busara, basi wajuvi wanasema akawekwa nje ya mstari kirahisi tu hivyo, ni mstaafu mwema
Siyo msekwa ni sita
 
Nadhani wenyewe wakitaka anatoka tu. Nilisikia kuwa Miseekwa aliota mizizi kwenye kile kiti, akaundiwa zengwe, zamu ya wamama, mara PM na spiiika wote kutoka mkoa mmoja sio busara, basi wajuvi wanasema akawekwa nje ya mstari kirahisi tu hivyo, ni mstaafu mwema😂
Umechanganya mkuu, Ni Samuel Sita sio Pius Msekwa
 
Huyu Spika huwa anaongea kama nani? Mbona anaonekana kutokuwa na imani na Serikali?

Hakuna namna ya kusuka zengwe awekwe pembeni? Amekuwa na kauli tata Sana siku za hivi karibuni.
Kwani ni mtetezi wa serikali au ni mshauri wa serikali? we vipi tena
 
Kwa kweli Spika ... wakati mwingine anahitaji kutafakari anayotaka kusema, ndio aseme.

Yeye kama spika anajuaje kuna mikataba ya hovyo hovyo, yeye sio sehemu ya serikali..Kwa hiyo serikali akiwemo na Mama walipitisha maamuzi ya hovyo hovyo? Hii inatafakarisha sana.

Je mikataba hii ilienda bungeni na akaiona ni ya hovyo hovyo? Kwanini hakuchukua hatua huko huko kupitia bunge lake na hakuwahi kusema lolote!

Je kuna hoja yoyote imewahi kuja bungeni na wakaunda au wakafanya mjadala kuhusu hili pale bungeni... Si hivi karibuni tu, bunge lilipitisha makadirio ya wizara ya Nishati, mbona hili halikuongolewa kwenye mijadala ya bunge.. Sasa yeye hili amelitoa wapi hili mpaka kutoa kauli hiyo.

Kwa kauli yake hii Spika amedharirisha heshima ya Uspika na serikali iliyokuwa mbele yake.
Huna ujualo wewe!! nyamaza, ndugaye ni mbovu ila kwenye hili namuunga mkono
 
Yeye mbona ana maamuzi ya hovyo hovyo yasiyofuata sheria?? Au ndio ile nyani haoni kindule?
5DBAA409-821B-4C3C-8F66-C5A4ECBC6DF4.jpeg
 
Huyo naye Ni njaa tu,lakini hatuwezi sema sana kwani raisi anashauriwa na watu waliokaribu naye kwa kumudanganya,mf.Nchemba kuwa fedha Ni uozo tu na matokeo hayo mnayaona ya kutozwa Kodi kwenye simu na luku,Ni kukurupuka tu bila kuwa na dira ya miaka mitano mbele.
 
Spika na makamba ndo walewale watakaopitisha mikataba feki,baadaye mnaanza kulaumiana hii inatokana na bunge la chama kijani hakuna mbadala humo,chochote kitakachojadiliwa Ni ndio.
 
Hiyo mikataba mpaka ikawe implemented inapitia hatua gani na gani ndio inaanza kufanya kazi!?

Sijui Akili yangu iko sawa!?
 
Back
Top Bottom