Recent content by Bayaa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidien kumshauri huyu..

    well,imekua rahisi kugundua coz unafanyaga hvyo ukiwa unaongea especially na watu wa jinsia kama yako..
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidien kumshauri huyu..

    yah wamezaa ndio kitu kinamfanya atulie tu hapo..na ss anamjengea nyumba.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidien kumshauri huyu..

    mbona ata ww kabla ya huo uLY wako ulipitia uku..ila naweza kuwa ni mkongwe kuliko ata unavyodhania..
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidien kumshauri huyu..

    kwel jf kiboko..nilikua napenda kusoma comment za watu till i joined..mana kuna majibu..ila nafurah.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidien kumshauri huyu..

    halafu wamejaaliwa mtt na bwana anasuport mama na mtt kwa hali ya juu..
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidien kumshauri huyu..

    mh. Kaunga
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidien kumshauri huyu..

    ahsante nitazingatia..
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidien kumshauri huyu..

    nipo mkubwa..shukran
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidien kumshauri huyu..

    hp mu wazima..jaman me bado mgeni naomba msinitolee mapovu sana nisaidien kwa hili nitaloenda waeleza.. kuna mpendwa mmja anadai kukosa uaminifu kwa boy wake kutokana na kukuta msg za ajabu ajabu kwenye simu ya huyo boy.. mbaya zaidi alikuta msg ya rafiki yake wa karibu wakichat na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania hi

    shukran..
  11. B

    JamiiForums Tanzania Amenisababishia ulemavu wa maisha kwa makusudi na sasa hanitaki tena!

    huwezi amin we Chai chungu umenifanya nijiunge jf kwa hii story..nilikua naisoma kimya kimya..acha kuwa kimya mda mrefu bana utamu umeshatuonjesha so malizia tu...kutuweka roho juu juu c fresh..pa1
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akishakunywa pombe ...mabeki hakuna.

    Wajinga ndio waliwao..n trust me wengi wao huwa wameridhia na c vinginevyo
  13. B

    JamiiForums Tanzania hi

    habari zenu woote..may i come in plz!..
Back
Top Bottom