Hivi ni nini tofauti ya hawa mafundi wanaochaji m2.5 mpaka 3 na hawa wa Laki Saba? Au wanaangalia na sura? Anaeweza kunijibu kitaalamu nitafurahi maana utofauti ni mkubwa sana.
[/QU kweli ndugu yangu apo bei maelewano tu na sidhani kama ni sahihi kumpangia mtu bei kabla hajaona mali.
We jamaa wa wapi? Kwa hiyo nikurupuke huku niliko Niache kazi za Watu nije kuona kiwanja ili nitajiwe bei!!!! Nini maana ya mtandao kwako? Nina m1 kiwanja m100 halafu nije kuangalia...
Huyu jamaa dip pub dawa yake ni kutokusoma matangazo yake he is F*** bness man/woman. Hatoi bei anaringa na hajui kwamba wateja wengine wanakuwa derived na bei to call or to pm his F*** phone number.
Hivyo vitabu angalia sana maana si kilichoandikwa ufuate, vinakupa uezo wa kupambanua mambo. Issue kujenga kwa TZ ni muhimu lakini si kwenye nchi zilizoendelea maana kwa wao hata upatikanaji wa land ni mgumu na kulipa mortgage ni ngumu kuliko kurent. So watch out man poromosha gorofa lako
I bet iwe kali kama asemavyo promoter maana movie zetu zinaboa mpaka basi. Nahisi ningekuwa director wa movie wasanii wabongo wangenichukia na nasikitika Siwezi ingia kwenye hiyo industry coz aina ya kazi nazofanya. Sababu kwa nini zinaboa
1. Movie masaa matatu/manne story ni moja tu
2. You...
Napenda kujua zaidi na business ambayo haitaniibia muda mwingi kusimamia.
Send me mafunzo yote at ramosikwayu@yahoo.com
If it is something viable you will be very happy working with me
NB: should not be GNLD etc.
I think he wants to bring politics in academics. People have a lot questions/ chaos under his leadership including national security. And this can be justified by the killings happened to protestors and innocent people who happened to express the nation problems to society, and none is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.