Idara ya BBC Africa Eye imetangaza kuja na uchunguzi mpya maalum unaoitwa “STATE OF FEAR” unaohusu matukio ya kikatili na mauaji yaliyotokea mwaka jana october 29, 2025 nchini Tanzania wakati wa uchaguzi mkuu. Kupitia taarifa iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, BBC Africa Eye imesema...
Stendi ya Mawasiliano ni eneo lenye muingiliano mkubwa wa watu kutokana na uwepo wa soko pamoja na mabanda mengi ya biashara. Licha ya umuhimu mkubwa wa eneo hilo, upatikanaji wa huduma ya choo kwa sasa ni changamoto kubwa, hali inayosababisha usumbufu kwa wafanyabiashara, wananchi wanaofika...
Vicent Mughwai Lissu, mdogo wa Mhe. Tundu Lissu anatolea ufafanuzi wa sakata la upigaji wa fedha za michango ya Mhe. Lissu. "Ni jambo la familia, naona Amani Golugwa anahusishwa kwamba alienda Arusha kuonana na Mzee Alute, nafikiri hili si sahii" Vicent Lissu
Soma pia: CHADEMA: Taarifa za...
Wanetu mnasemaje? Kaomba radhi kweli au kachamba umbea? JUMA, sisi na wewe tumepita wapi? Sisi na wewe hatujapitia chochote. Kwanza hiyo AFRIMA ni kitu gani ili tuanze kusaga kunguni mapema
Staa wa muziki wa Bongo Fleva Juma Jux amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kauli iliyosambaa mwaka jana...
Mbunge wa Jimbo la Mwibara (CCM), Kangi Lugola amesema ni vyema mihimili ya serikali iwe huru ili iweze kufanya kazi zake kwa usahihi bila kuingiliwa.
Soma pia: Vyombo vya Dola na taasisi nyingi zianitaji Kukombolewa na Wananchi ikiwepo mihimili Bunge na Mahakama Wananchi tuvikomboe virudi kua...
📍MOROGORO - Mkuu wa Mkoa, Adam Malima, amesema hatua zitachukuliwa dhidi ya Watumishi wote wanaokwamisha utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa stendi ya magari ya mizigo (malori) ya Mikumi, Wilayani Kilosa, unaotarajiwa kuanza hivi karibuni.
Malima ametoa kauli hiyo wakati wa kikao kazi cha...
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Kahama, Emmanuel Cherehani amehoji utaratibu wa mgonjwa kulipia fedha ya kwenda kumuona daktari katika hospitali za Umma hapa nchini ambapo amedai wagonjwa hulipishwa kiasi cha shilingi 5,000 mpaka 30,000.
Soma pia: Dkt. Seif Shekalaghe: Marufuku hospitali kudai fedha...
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andy Lentz, ameelezea kutoridhishwa kwake na jinsi Serikali ya Tanzania na vyombo vya habari vilivyolishughulikia suala la kukamatwa kwa raia wa Marekani aliyekuwa na silaha katika mpaka wa Sirari.
Akizungumza hivi katika mahojiano maalum...
Jumuiya ya Mtakatifu Yohana Parokia ya Yombo Dovya Januari 27 iliungana na kushiriki zoezi la upandaji wa miti katika kata ya Makangalawe Wilayani Temeke ikiwa ni sehemu ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Samia Suluhu Hassan katika siku yake ya kuzaliwa lakini Cha ajabu aliyeonekana...
Wakati matumizi ya mafuta yakiwa maarufu kwa wengi kama kilainishi wakati wa kujamiiana, wataalamu wa afya wameonya kuwa yanaweza kuleta madhara makubwa kwa afya ya mwanamke, ikiwamo kuharibu kinga asilia ya uke na kuongeza hatari ya maambukizi.
Em tupe experience mkuu?
Ulikutana wapi na mwenza wako kwa mara ya kwanza?
Je ilikuwa ni Club?
Kanisani?
Mitandao ya kijamii?
Kwenye usafiri?
Na ilikuaje mpaka mkaanza
Kuna Bwana mmoja maarufu anaitwa JOMEKE; Huyu bwana ni katika wale watu wasiokuwa na vifua, hana stahimala akiona jambo. Vijana wanasema friji lake haligandishi. Jomeke hawezi kabisa kuficha siri, akiskia jambo au akiona jambo hawezi kuvumilia lazima aseme
Sasa siku moja Jomeke kwenye...
Naombeni kujibiwa hili swali tafadhali
Hivi kwanini wanaume mnakuaga na hela zile wiki za mwanzo tu tunapokutana na nyie? Alafu baada ya hapo huwa hatuzionagi tena?
📍DODOMA - Yohana Mathias, Mkazi wa Nzuguni B, amefariki dunia asubuhi ya leo baada ya kuugua kwa muda mrefu tatizo la tezi dume lililoambatana na kupooza kwa sehemu kubwa ya mwili wake.
Kifo cha Mathias kinatokea siku chache baada ya Jambo TV kuchapisha habari akiomba msaada wa matibabu, akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.