Tusichukulie poa, mazingira ya biashara kwenye nchi yetu ni magumu sana yani kuna utitiri wa kodi kibao.
mfano mimi biashara yangu nauza samaki wabichi mtaji milioni 4 ...
kodi nazokumbana nazo kwa mwaka..
1. TRA NALIPA 370,000
2. LESENI NALIPA 41,000
3. LESENI YA FISHERIES NALIPA 100,000
4.TAKA...
Mkuu pole na majukum , inawezekana ushatolea ufafanuzi lakin naomba ikikupendeza nisadie pia, Nimeagiza gari haina ya Nissan dualis inatumia engine MR20 naomba kujua oil gani inafaa kwa haina hii ya engine au ikikupendeza naomba uchambuzi kidogo wa gari hii ?
Jinsi ya kuondoa unwelcomed ads,
Fungua setting katka simu yako nenda setting »»apps>>> scroll kwanda chini mpaka mwisho kabisa utakuta kuna app ambayo haina icon bonyeza /ifungue alafu uninstall.
Mpaka apo tatizo litaisha kabisa.
Kwa watumiaji wa android tu
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.