Recent content by bavi

  1. B

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Dunia ni flat. Siri kubwa wanayo nasa, ndo maana maswala ya anga ni mataifa matano tu ndo yanaruhusiwa kusomea. Dunia ina kingo, ingekuwa duara ndege ya kutoka australia ingepitia upande wa pili hadi marekani ila ndege zote zinapita bara la afrika kwenda marekani. Kwa kuwa watu wengi tuna elimu...
  2. B

    Endapo Salum Kikeke atateuliwa na Rais, Diaspora tutaanza kuona njia ya Uraia Pacha ikifunguka

    Uraia pacha hatutaki. Kwani nyie mliopo nje mnatuletea mambo ya kisenge. Hatuwezi kukubali mkae huko huko
  3. B

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    mfumo ukikaa sawa tujuzane ndugu
  4. B

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    basi IT watakuwa wanaboresha mfumo
  5. B

    diploma in education (arts) kwenye mfumo wa ajira tamisemi

    kuna mtu amefanikiwa kuweka masomo ya kufundishia
  6. B

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Kuna mtu amefanikiwa kuingia kwenye mfumo tangia asubuhi hadi sasa?
  7. B

    Kama wewe ni mathematician tupe jibu la fumbo hili

    codifier, Uko sawa, mtoa mfanya hebabu alikosea tangu mwanzo kama deni jumla ni 10000 ukapunguziwa 300 deni likabaki 9700. Ulitakiwa kugawa deni mara mbili =4850 kwa kila mmoja ukimpa kila moja 100 we ukabaki na 100 calculation zingekuwa hivi. Dada(100 uliompa+4850 lile deni +50uliobaki...
  8. B

    Biashara ya samaki

    unaweze kuchukua wabichi tsh 2k to 3k per kilo japo sasahv wameshuka, then wakakukaangia we ukaenda kuuza jumla au rejareja, au kama una fresh food unaganisha kwenye friza then unasafirisha.
  9. B

    Biashara ya samaki

    kama unahitaji samaki wapo wa sample zote. mfano wabichi ambao unasafirisha kwa basi ila mpaka wagandishwe kwenye friza n a wanafungwa pamoja na pumba ambapo unaweza kusafirisha hata kwa siku hadi 3. kama unahitaji ni inbox ni kuunganishe
  10. B

    Zitto: Uamuzi wa kuhamia Dodoma ni sahihi, unapaswa kuungwa mkono na wazalendo wote Tanzania

    tuliwahi kuwa na mpendazoe police mes dodoma akizindua kitabu cha tutashinda bona hii mizwengwe hawaiongelei viongozi wote wanafahamu je kilichoazimiwa ndicho kinachotokea sasa hivi? tunaitaji maendeleo maneno hatutaki kwasasa
  11. B

    Zitto: Uamuzi wa kuhamia Dodoma ni sahihi, unapaswa kuungwa mkono na wazalendo wote Tanzania

    kuna watu wanapinga tu, sababu wanazotoa nizile za viongoz wao wakisiasa, acheni siasa pigeni kazi
  12. B

    Tv inauzwa

    8 MIL
  13. B

    Tv inauzwa

    52'' model: Sharp flat screen from germany
  14. B

    Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    njia ya kwenda ikulu ileee ila si kwadisign hii, naisubiri tarh 26 tz iendelee
Back
Top Bottom