Recent content by Bauntu asukile

  1. Bauntu asukile

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka sana na uwepo wa GSM katika Klabu ya Yanga

    Kipindi hayupo Gsm hizo fedha za bakuli zilitosha kuendesha timu,, msiwe wanafki mpira ni pesa ..
  2. Bauntu asukile

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva mkoa wa Ruvuma

    [emoji28][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. Bauntu asukile

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika madereva wenye Class C

    Namba wanasema haipo
  4. Bauntu asukile

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Siri ya Migomo Kenya kisa ni wivu wa maisha mazuri ya Watanzania

    We akili huna kweli, umefikiria umeona hayo ndiyo mawazo..
  5. Bauntu asukile

    JamiiForums Tanzania Kaka yangu kamtia mimba mama yetu mdogo. Hili lipoje kwa Wanyakyusa?

    We elezea huo mkasa ila kabila lina maana gani sasa
  6. Bauntu asukile

    JamiiForums Tanzania Takwimu za mechi za Simba vs Vipers & Yanga vs AS Real Bamako

    Uchocholoni huko huko kulikushinda ukawasha mpka moto
  7. Bauntu asukile

    JamiiForums Tanzania Ila TFF imeamua kupuuza kabisa Feitoto. Kuna ugumu gani kusema hoja alizoweka mezani Feitoto na kufafanua kisheria kwanini hazikuwa za Msingi?

    Jf ukiwa huna akili ya kuchambua mambo utashabikia kila kitu
  8. Bauntu asukile

    JamiiForums Tanzania Ninaweza sema sasa nimepata mwanamke sahihi, mwenye sifa zote za Mke

    Hebu shangaa na wewe,, maana Mimi nimeshindwa kumjibu..
  9. Bauntu asukile

    JamiiForums Tanzania Fei Toto agonga mwamba TFF, bado ni mali ya Yanga

    Kwasababu hujui chochote ni bora ukae kimya tu
  10. Bauntu asukile

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu mwenye akili zake timamu anaamini mambo ya Mungu, shetani, uchawi na majini?

    Mimi nafikiri ungejishukuru kwa hali uliyonayo, ila uchawi upo na unavuluga amani vibaya. Shukuru Sana kama hujawahi kukutana nao wala kukudhuru.
  11. Bauntu asukile

    JamiiForums Tanzania Sifa za mwanaume rijali

    Nilitaka kuchangia hivyo hivyo ,, umetisha mwamba
  12. Bauntu asukile

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wafuatao wa Simba SC wasipangwe Mechi ya leo dhidi ya African Sports FC katika TFF ASFC

    Kumbe ndio huna akili kiasi hicho,, Sasa ukaribu wa klabu a unahusishaje na klabu b unafikiri malengo yao sawa..
  13. Bauntu asukile

    JamiiForums Tanzania Clautos Chama Vs Haruna Moshi "Boban" nani fundi zaidi?

    Chama kwa ubora wake wote hajawahi kufanya majalibio hata South hapo, ila Boban alishacheza Sweden
  14. Bauntu asukile

    JamiiForums Tanzania Mama yake Feisal Salum 'Fei Toto' Kamaliza Utata na Kutema Nyongo dhidi ya Yanga SC

    Hata angekuanazo hela nyingi zaidi ya hizo hawezi kuvunja mkataba kama aliovunja yeye,, hakuna timu duniani inaruhusu mchezaji kuvunjwa mkataba pekeake bila bila kuzingatia vipengere vya mkataba
Back
Top Bottom