Sioni ajabu fundi bomba kuendesha ndege, huko mtu kuwa na skills za vitu vingi kwa level ya basic ni jambo la kawaida mbona.
Hizi sh*thole country ndo watu wamebweteka akipata fani moja ndo hiyo hiyo hakuna haja ya kujifunza vingine.
Lugha mama ni mitetemo hii hatujifunzi, tunazaliwa nayo ipo kwa viumbe vyote hivyo kwa wanyama hii ndo tunatumia kuwasiliana nao.
Paka kukukazia macho kwa experience yangu ni kitendo cha kuku scan mara nyingi ni kuwa ameona kitu interest kwako, kitendo atachofanya baada ya hapo ndo litakuwa jibu...
Kwamimi naweza kusema ni uwezo wa ku predict mtu anachowaza lakini sio kujua anachokiwaza.
Sasa asilimia za kubashiri mtu anachowaza itategemea na umakini wa mtu(presence) & usikivu, confidence, experience(ila usiwe bias kwa namna yoyote ile).
Sidhani kama inahitaji uwe genius uweze kusoma...
Kwa mantiki ya mtu mwema na mtu mbaya, binafsi ninafit kote itategemea tu na mhusika ananisoma vipi, na sijali.
Hayupo mtu mbaya wala mwema wa muda wote. Ila itategemea mawazo yanayomtawala mtu, ama ni ya kujenga ama kuharibu/ubinafsi.
Kwaiyo mawazo tawala ndo yata define huyu mtu anaegemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.