Recent content by BATTO

  1. BATTO

    JamiiForums Tanzania Diamond ana miaka 33 na wewe una miaka 33 ila wewe huna kitu

    Kila nafsi itaonja umauti.
  2. BATTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu bado anawasiliana na mzazi mwenzie, nahisi kwangu yupo kwa muda tu, nifanyeje?

    Wanawake wa dizain hiyo ndio wanaowatia doa single mother wengine wenye adabu zao..haiwezekan kitu kinadisplay hubby kwa simu mbele ya ngome nyingine..yani kwa ufupi huyo ni wa hovyohovyo kashindwa kula na kipofu.
  3. BATTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msile vyote mtuachiage na sisi

    Sisi hatuna nguvu za kuchezea Tako zetu tatu kwisha habari...tunawaachia wazee wa kufunga usongo na maremba mixer mavitu yenu ya kupakapaka ili ziwawake moto na bado mko na mashaka juu yetu! vijana mnafeli wapi...kweli nimeamini donda la kichwa mkaguzi mkono.
  4. BATTO

    JamiiForums Tanzania Hii ni bahati au nini jamani

    Nakuona vile unacheza ndondo away kapige kazi aisee huyo mzungu atakuwa kakuelewa tu kimuonekano kajua wewe sio janjajanja.
  5. BATTO

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kumfungulia biashara ya Salon

    Wazo la kuweka ps nakuunga mkono mtawavuta watoto na watapenda kuja kunyoa ila wasiwasi wangu ni huyo dogo kupunyua watoto wa watu..mwambie azingatie sana namba za mashine kuwanyoa watoto na asikimbilie kuwanyoa mitindo itamsaidia zaidi kuongeza ujuzi siku hadi siku..na pia wanafunzi style yao...
  6. BATTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni vigumu kumpata rafiki mtakae shibana

    Sasa hivi kuna washkaji tu hakuna marafiki yani akizingua unamkataa unaambatana na wengine...urafiki wa sasa ni unafiki tu..chukua hii.
  7. BATTO

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mchele imepaa

    Na maharage yamefika 3600.
  8. BATTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbinu za kujua demu/mke wako katoka kubanduliwa

    Nadhani itanukia strawberry hahah
  9. BATTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu na mzazi mwenzie

    Hiyo ndo shida ya kusimulia kila kinachoendelea nyumbani kwako kwa mchepuko na ukute uliwahi kumwambia mchepuko kwamba humpendi mkeo..tatizo hilo.
  10. BATTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Toka aliponitenda nimekosa imani kabisa na wanawake

    Naona ulidandia mtumbwi wa kibwengo.
  11. BATTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na boss wangu, sijatosheka kabisa

    Mimi ni pale kwenye mtikisiko wa makalio tu.
  12. BATTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hataki kunielewa na yupo tayari kuachana na Mimi kisa mtumishi mwenzie

    Kwa nondo ulizopewa humu ukimrudia wewe ni fallah.
  13. BATTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya usiku wa mateso

    Kuna miujiza hapa
  14. BATTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa na mahusiano na ndugu wa tumbo moja?

    Majirani
  15. BATTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa na mahusiano na ndugu wa tumbo moja?

    Kumekucha.
Back
Top Bottom