Recent content by Batandwa Financials

  1. B

    JamiiForums Tanzania Historia ya mji wa Tabora na upatikanaji wa jina la Tabora

    Asante kwa historia nzuri. Hakika Sikonge kuna historia kubwa sana ya Kanisa la Moravian
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke wanachama wa JamiiForums waliotutoka

    Hao wamepotea sana sijajua kama wamefariki ila muda mrefu sana, labda watajitokeza
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke wanachama wa JamiiForums waliotutoka

    Game Theory Sikonge kaa Inzi Blue Ray Kibunango Malaria Sugu Bulesi KANDA MBILI @X Pastor
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kutimiza Masharti ya Microfinance Act 2018

    Sheria ya kuendesha, kusimamia na kudhibiti microfinance institutions zile ambazo haziruhusiwi kupokea wala kutunza akiba/amana za umma tayari inafanya kazi. Serikali kupitia wizara ya fedha tayari imeshatunga kanuni za uendeshaji, ambapo ilitoa kipindi cha mwaka mmoja kutoka 1st November 2019...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Dr Mhede aja kijapani zaidi, hamna tena mambo ya Yono, minada ya TRA sasa kielectronic

    Taratibu tunasogea itakuwa utaratibu mzuri sana. Tuepuke hizi kazi za karatasi
  6. B

    JamiiForums Tanzania Dr Mhede aja kijapani zaidi, hamna tena mambo ya Yono, minada ya TRA sasa kielectronic

    Upande wa leseni zinatolewa na BRELA ni kwa kielectronic
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira - Credit Promoters

    Karibu sana
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira - Credit Promoters

    Vitu vya kutuma ni barua ya maombi na wasifu wako? Nilidhani hivi ni wazi kwa kila mtu
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira - Credit Promoters

    Batandwa Company Limited T/A Batandwa Financial Services ni kampuni mpya itakayohusika na utoaji wa huduma ndogondogo katika daraja la pili kulingana na sheria mpya ya asasi ndogondogo za kifedha ya mwaka 2018. Tunapenda kutangaza nafasi za kazi kwa ajili ya maafisa mikopo wanne (4) kwa ofisi...
Back
Top Bottom