Sekta ya kilimo inawaingizia watanzania wengi sana kipato, hivyo ni vyema sekta hii ikapewa uzito unao stahili.
80% ya watanzania ni wakulima therefore kuendeleza kilimo ni kuwaendeleza watanzania wa kipato cha chini.
Sekta ya mifugo pia inabid itazamwe kwa jicho la pili kwa sababu watanzania...
gharama kwa ujumla kama mimi nataka kufuga kulimo cha biashara . gharama average(general) zinakuwaje?
na sehemu ninapoweza pata hao samaki wa kuanzia? nipo morogoro.
mkoa wa pwani mihogo inastawi sana mkuu maeneo ya kisarawe
aina za mihogo zinazo stawi maeneo ya kisarawe ni rasta na enyimba
kuhusu mashamba na usafir vinapatikana kwa gharama ndogo .
kama una swali unaweza ukauliza.
Kisarawe ipo karibu sana na dar xo soko sio tatizo kwa mihogo yako. Pia kama...
Nchi kuwa na slogan yake kunachangia sana kuitambulisha nchi kimataifa. kutambulika kwa nchi kwa slogan kama aliyoipendekeza gwajima "TZ ROOF OF AFRICA" ni jambo jema coz sekta za utalii n.k zitainufaisha nchi
BIG UP KWAKE KWA KUWA MZALENDO.
Kutatua tatizo hilo ni vyema kufuga kuku aina ya CROWLER ambao unaweza kuwafungulia wakajiokotea kama kuku wa kienyeji (ikiwa kama una eneo la kutosha) na ukawaongezea na chakula.
Pia wanakua haraka na kutaga mayai yakutosha kwa mwaka .
Sasa mimi ushauri wangu kwako ni kwamba ufuge kuku kuanzia mia moja kwanza ili upate uzoefu. Kama unataka kufuga kuku 1000 kwa kuanzia inabidi upate afisa mifugo ili akupe ushauri wa kuaminika kuzuia hasara. contacts zake 0752576267
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.