Recent content by Basi Nenda

  1. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Omar Mahita: Nilikuwa IGP katili sana

    Lakini amesema mafanikio yake wakati wake hakukuwa na utekaji na alikua hapokei maelekezo ya wanasiasa
  2. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Omar Mahita: Nilikuwa IGP katili sana

    Mzee ametoa hint kwamba Kuna kitu hakipo sawa kwenye system amesema Kuna ugonjwa wa ukoma,kidole kinakatika ila hujui
  3. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Mganga gani anaweza Baki na Maini na Kichwa cha mtu siku zote hizo Huku akijua wenzake Wamekamatwa ? Hakuogopa kutajwa? Kukimbia ? Kuvifukia?

    Sitetei serikali japo ulichosema kinawezekana lakini kwa nijuavyo mimi Mganga anabaki na vitu hivo sababu ndio alivohitaji kufanyia mambo Yao Kwanini hakutupa wenzie walivokamatwa ? Mganga siku zote anaamini Kuna dawa asidakwe
  4. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

    Huyu jamaa kilitokea nini hasa,Leo kichwa na maini vimepatikana
  5. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Moyo wangu utulie niseme Magufuli alikuwa kiongozi Mzalendo

    Majaliwa wa Magu angekutana na Majaliwa wa "Mama" wangepigana sana. Majaliwa lost both his Authority and influence under the so called Mama
  6. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Suala la kuifungia star tv na redio free africa ni kuuwa nchi kiuchumi na kiteknolojia inaonekana kuna muhuni amekataliwa kununua hiyo kampuni

    Serikali itoe msamaha wa Kodi... Ikifa star tv fikilia familia ngapi zitakosa ugali
  7. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Andrew Nyerere: Mwanaume anayesema 9 Disemba hatuandamani, Sisi tutaandamana labda wewe utabakia nyumbani na wanawake wenzako

    Kuna mwanaJF miaka kama minne nyuma alijiuliza swali humu hivi wakati Nyerere yupo ali interact vipi na wanae hawa😂
  8. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Homa ya D9: Vyombo vya ulinzi (JWTZ, polisi, jeshi la magereza n.k.) kufanya usafi nchi nzima kuanzia Disemba 7

    Tanzania hakuna chombo cha ulinzi wala jeshi. Kuna vikundi vya wahalifu
  9. Basi Nenda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miguno, vilio, sauti za mahaba ukiwa kitandani

    Jaribu then utanambia 😊
  10. Basi Nenda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miguno, vilio, sauti za mahaba ukiwa kitandani

    Ndio kwa sauti kubwa 😂
  11. Basi Nenda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miguno, vilio, sauti za mahaba ukiwa kitandani

    Mimi huwa napiga vigeregere
  12. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Shekhe Mazinge aja na Maji ya Upako

    Jamaa niliona video anawaaminisha watu yeye ni smart kuliko yeyote msikitini😂 Aliiba mzani wa nguruwe miaka ya 90 akawekwa ndani
Back
Top Bottom